Rage na akome kuhususha mambo ya mpira na siasa zakeUpdate:Setif3-0Simba. Jamani tuzidi kuiombea Simba walau tupate goli na tuliyofungwa yabaki hayohayo.
Cherekoooo! eeeh kidedea eeh kidedea. Sasa msimbaz ni vicheko tu.Wasioipenda Simba wanywe sumuuuu! Hiyo ndo Simba bwana!