Mchezo wa Simba waanza na mkosi wa Redcard.

Mchezo wa Simba waanza na mkosi wa Redcard.

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
271
Juma Nyoso dk3 amepewa kadi nyekundu.Fitna zimeanza,huko hakuna wapinzani wakuwapa suport kwani waarab wote wako kitu kimoja.
source:RFA
 
Update:Setif1-0Simba.Tushapigwa moja.Wadau tuiombee Simba.
 
update:2ndhalf Setif2-0Simba. Jamaa wanacheza kwa kasi ya ajabu,wanakimbiza ile mbaya.Mashambulizi ni makali sana.
Source:Clouds fm.
 
Update:Setif3-0Simba. Jamani tuzidi kuiombea Simba walau tupate goli na tuliyofungwa yabaki hayohayo.
 
simba washabukia 3- na naisi zitaongezeka aisee
 
hapa najaribu kuona umuhimu wa kuwa na academi za michezo juma nyoso nafikiri kilasiku anaangalia ligi za ulaya anashindwa kujifunza hatua kama hii unatakiwa kuwa na hali gani?nashindwa kuelewa kabisa.
 
update: Simba1-3setif. Mungu saidia mpira uishe hivi.
 
Cherekoooo! eeeh kidedea eeh kidedea. Sasa msimbaz ni vicheko tu.Wasioipenda Simba wanywe sumuuuu! Hiyo ndo Simba bwana!
 
simbaaaaaaaaaaaaa. Hureeeeeeeeee!!!!!
 
FT matokeo??????????????????????????

Matokeo Simba1-3setif. Simba imefuzu kwa goli la ugenini kwan wanamagoli3 wote. Setif kwetu hawakupata goli na tuliwanyuka 2-0. Kwao tumepata goli. Simbaaaa,weweee,eeh kidedea eeh kidedea.
 
Oookwi, ookwi! Okwi kachapa nje ya 18 kipa akalamba nyasi bila kuona mpira. Simbaaa!
 
Back
Top Bottom