britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Yaan na walifanya kosa kubwa sana"Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama"
Hili jambo CDM wamelishindwa kabisa.🤔
Hatari sana mzee.Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Kuna lile kundi la yule dogo Sativa i guess kuna kipindi nilijua ni viongozi rasmi kwa engagements anazopata kumbe ni mwanaharakati tu.Yaan na walifanya kosa kubwa sana
Labda wewe ndio unafikiria hivyo"Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama"
Hili jambo CDM wamelishindwa kabisa.🤔
Sema tu ukweli Lema anatumika na Mange anatumika katika Makundi 2 tofauti yenye interest tofautiNtaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Yes, my thought.Labda wewe ndio unafikiria hivyo
Lema hata angekuwa mwongo basi uongo wake ukimsikiliza bila bias una make sense.Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Siasa bila harakati haipo, na harakati zote zina sura ya kisiasa.CDM ichague moja kufanya siasa au harakati, karata zote wanazo wao.
Huyo kimambi mwanzoni alikuwa anapewa sensitive information anatusanua bila kuchuja baada yakugundua weakness wakaanza kumpa fake news kisa anaamini vyanzo."Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama"
Hili jambo CDM wamelishindwa kabisa.🤔
Nani sasa anawapotezea muda mimi au Lema 😂, na kama hamumtaki si mumvue uanachama?Siasa bila harakati haipo, na harakati zote zina sura ya kisiasa.
Usitupotezee muda
Kusema mange hana impact ni kujidanganyaKumjibu Mange ni ujinga tu, sioni umuhimu wake yule ni mpiga kelele mitandaoni aliyejipatia umaarufu kwasababu ya kueneza habari za umbea.
Hana impact yoyote field, kama TISS wanamtumia kweli au unajituma mwenyewe hawezi kubadilisha chochote kwenye platform ya taasisi.
Ila kuhusu usemaji wa CDM hapo nakubaliana nawe, Brenda yupo kimya sana, angetakiwa yeye ndie ajitokeze kuwasafisha viongozi wa chama chake wanapotuhumiwa na Mange.
Badala yake anamlazimisha Lema ajitokeze hadharani kujisafisha, kitu ambacho sio sawa kwa mtu wa level yake kuhangaika na Mange ambaye alishamzushia mpaka dada wa Lissu kukutana na JK hotelini akapingwa na hakusema chochote.