Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

Wanaharakati mnamkataa Lema, kwani Viongozi wenu wanasemaje? Kama nyie mnajua ni msaliti mnataka kuniambia uongozi haujui? Na kwanini bado wapo nae mpaka kwenye vikao vya siri? Nyie watu "wanaharakati" ngumu sana kuwaelewa.
 
Wewe unabifu na mange sababu huwa anakuwahi kwa hiyo lazima umtete lema
 
Nani sasa anawapotezea muda mimi au Lema 😂, na kama hamumtaki si mumvue uanachama?
Lema amesema hawezi kufanya harakati za uasi, na ni dhahiri chama hakiruhusiwi kufanya hivyo.

Bali maandamano ya amani yanayoruhusiwa kikatiba.

Na Kwa kusema hivyo, cdm inaunga mkono walibeba mabango kuandamana ambao hawakuhusika kuharibu mali ya yeyote.
 
I can say with no fear of contradiction kwamba, Mange na wewe na Lema, na Paskali na baadhi ya wachache wengine hamtofautiani kati yenu.
Kinachowapa msukumo hakina manufaa yoyote kwa waTanzania.
 
Siku ya leo imekuwa njema sana kwa upande wa chadema kwani watajivua gamba na kusimama pamoja na kuwa imara zaidi,usikute mtu wa kati akawa mnyika wote mkabaki midomo wazi😆😆
Chadema ijifunze kuwa na msemaji mmoja pekee wa chama ambaye atakuwa anatoa nakala maalumu ya taarifa husika,na si kila mtu kujirushia habari kwa jinsi anavyojisikia,kutokuwa na mfumo wa kihabari kina kuwa siyo chama tena bali ni ----KUSANYIKO LA WAHUNI ----afisa habari awepo 24/7 kupitia habari za makunguru ya chadema yanayotoa ripoti kwa jinsi yanavuojisikia,chadema ielewe,""This is political party and not hooligans party""

CDM PRESS NI LAZIMA ITOE ONYO KALI KWA WALE WANAOTOA HABARI AMBAZO CHAMA HAKINA TAARIFA ZA HABARI HIYO.
 


Kuna mambo yanachanyanya kwenye hoja yako

Wanaharakati wengi wako upande wa chadema because wanataka mabadiliko

But sio kila wanachosema au wanachotahadhalisha kiwe directly kama kimesemwa na chadema

Lazima kuweka tofauti ya taarifa za chadema kama chama na taarifa, za wanaharakati

Chadema haijawahi kusema lema ni dalali

But wanaharakati ndio wanasema lema ni dalali
 

Sasa Brenda atakuwa nasafisha viongozi kila siku?

Hao wakina lema kila siku wanasemwa kila sehemu

Sasa unataka akiona post jf aite press ajibu?
 
Kwani Chadema iliwahi kumtambua Mange kama msemaji wa chama ??

Lema kumjibu mange kimambi Tena KATIKA wakati huu amejishusha sana

Na ameomyesha alivyo madhaifu kuhandle ishu kubwa
 
Maandamano aliyoitisha juzi Okt.29 uliyaonea wapi?

Impact anayo mitandaoni kupewa likes na wapenda umbea, sio field.
Manga angakuwa hana impact lema asingekuja kumjibu

Kumbuka mwanasheria mkuu wa serikali alisema atahakikisha mange anafikishwa kwenye vyombo vya sheria sasa mtu ambaye hana impact iweje mwanasheria mkuu amjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…