Na sababu ni moja tu Tundu Lissu yuko jela.Mimi nitawaambia humu kila siku kwa style hii mtaendelea kuwa vulnerable kwa CCM na mtabaki kila siku kushikana uchawi.
Kwahiyo ulimwona akifukumia VODKA kabla hajaleta haka kauzi kake 🙂Punguza na mapombe.
Hivi kuna tuzo ya kujifanya kila mtu anajua YA NDAAAANI??
Ni muhimu kuwa na uangalifu ni wanachama wapi wa CHADEMA unaowalenga.Wanachama wajinga wa Chadema wanaendeshwa na mihemko..!!
Na watu ni kama hilo hawalijui.Na sababu ni moja tu Tundu Lissu yuko jela.
Tundu Lissu angekuwa hayuko jela kusingekuwepo mambo kama haya ya akina Lema.
Lema hana "nia njema".Naomba kujua Strategic Engagement anayofanya Lema na serikali bila watu wengine kutoka kwenye chama chake kujua nani anaweza kupima kama ina nia nzuri au mbaya, maana hili amelisema mwenyewe anafanya nje ya utaratibu wa chama chake.
Anaweza kuwa ana nia njema, lakini kumbuka hata nia njema inaweza kukupeleka motoni.