johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii tanzanite ni kilo 6.33
Maendeleo hayana vyama
Sipingani na Yeye ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.
Usiende mbali mkuu, tunahitaji kufanya uchaguzi na kushinda.Sipingani na Laizer ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.
endelea kupata hofu huku wengine wakiwa mabilionea
johnthebaptist hivi kweli mtu anayemiliki mpaka"Mall" eneo sakina "Opposite" Seven Up bado ni mchimbaji mdogo?Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii tanzanite ni kilo 6.33
Maendeleo hayana vyama
Uyu jamaa sio mchimbaji mdogo ana watalaam kutoka china ana fanya nao kazi mda Sana haya mawe washauza Sana apo kwa jirani sema kwa sasa mambo yamekuwa tyt!Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
Barick!Kwa mawe anayoyaibua bado anaitwa mchimbaji mdogo. Sasa mchimbaji mkubwa ni yupi huyo?
Huyo Ni Mchimbaji Mkubwa Sanajohnthebaptist hivi kweli mtu anayemiliki mpaka"Mall" eneo sakina "Opposite" Seven Up bado ni mchimbaji mdogo?
Wala usipatwe na hofu hakuna figisu zozote hapo,uzuri wa tanzanite ukidumbukia kwenye mtaro basi ni ya kuchota tuu,kampuni ya tanzanite one ilikuwa inatoa madini zaidi ya hayo mkuuSipingani na Laizer ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.
Tanzanite 1 yeye anapiga hadi kilo 50Kwa mawe anayoyaibua bado anaitwa mchimbaji mdogo. Sasa mchimbaji mkubwa ni yupi huyo?
Hakuna lililofichwa kesi yake ilishaisha,hili la leo ni mojawapo ya mawe aliyoyatoa mwishoni mwa mwezi wa 7Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
Yeah exactlyWatu kuhusu hili jiwe la kg 6 walishalisikia wiki 2 zilizopita @Twenty4seven
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app