Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Huyu Leiza, wampe mgodi wote tu, Kwanza hatoroshi madini,lkn pia hapendi kuwauzia wengine ispokuwa anaiuzia serikali pekee, Kwa nini asipiwe hiyo migodi akaiendesha yeye kama Mtanzania mzalendo?
 
Kuna siasa zimeshaingia tayari, yani hadi CDFu na Siro mwenye mauzo. Kuna kitu

Unaweza kuta hata huyo Laiza ni sehemu ya sirikali, yalishauzwa sirikali ila wanataka kutangaza wana Tanzanite wananuaji hakuna, so ku publicise wanatengeza filamu na Laiza au unaweza wanapokonywa watu wasiokuwa na mahusiano mazuri unachezwa mchezo kuwa yake anayauza with publicity mpaka viongoz wa sirikali na vyombo vya ulnzi ndani.
 
Wala usipatwe na hofu hakuna figisu zozote hapo,uzuri wa tanzanite ukidumbukia kwenye mtaro basi ni ya kuchota tuu,kampuni ya tanzanite one ilikuwa inatoa madini zaidi ya hayo mkuu

Nitakuwa wa mwisho katika Kuiamini hii Hoja yako Mkuu japo naiheshimu kama vile ambavyo hata Wewe pia unatakiwa uheshimu Mashaka yangu.
 
Hapana. Hili alilipata June kipindi kimoja na yale mengine.
Hapana nielewe nipo kwenye hili game napambana,kipindi kile cha yale mawili kweli yalitoka 3 ila moja lilifichwa ila lilikuja kupatikana na aliekamatwa nalo alikaa ndani ila baada ya hayo mawe nadhan week 3 zilizopita alitoa tena madini mojawapo ni hili la leo
 
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.

Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo IGP Sirro na wengine wengi.

Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii tanzanite ni kilo 6.33

Maendeleo hayana vyama

Anakabidhi hilo jiwe kwani ni ofisi ya serikali? Sema anawauzia serikali lakini kwa kiki.
 
Kama mchimbaji mdogo anaweza kupata mawe makubwa inakuwaje makampuni makubwa yenye mitambo ya kisasa na wataalamu kutopata mawe makubwa?Ni siasa au ufisadi?
 
Sipingani na Laizer ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.

Hofu Zangu ni hizi:

1. Very soon serikali itautaifisha huo mgodi wa Laizer,
2. Thamani ya Tanzanite Tanzania itapungua sana due to forces of supply and demand,
3. Itafik Mahala serikali itashindwa kununua hayo makilo yaTanzanite siku zinazosonga ikiwa Laizer atazidi kuyapakuwa wiki hadi wiki.
 
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.

Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo IGP Sirro na wengine wengi.

Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii tanzanite ni kilo 6.33

Maendeleo hayana vyama
Laiser sasa sifa hiyo duh!!!!
 
Wala usipatwe na hofu hakuna figisu zozote hapo,uzuri wa tanzanite ukidumbukia kwenye mtaro basi ni ya kuchota tuu,kampuni ya tanzanite one ilikuwa inatoa madini zaidi ya hayo mkuu
Dah kwahiyo yameibiwa mengi tu.
Basi kingole jpm
 
Hofu Zangu ni hizi:

1. Very soon serikali itautaifisha huo mgodi wa Laizer,
2. Thamani ya Tanzanite Tanzania itapungua sana due to forces of supply and demand,
3. Itafik Mahala serikali itashindwa kununua hayo makilo yaTanzanite siku zinazosonga ikiwa Laizer atazidi kuyapakuwa wiki hadi wiki.

Mimi ' Hofu ' yangu iko nje mno ya hizi ' Hofu ' zako Kuu Tatu za Kisomi ulizoziweka hapa. Ila naomba tu hii ' Hofu ' yangu nibaki nayo Mwenyewe.
 
Kwanza hatoroshi madini
Sio Hatoroshi Brother; Yaan sasa hivi jiwe kama lile unalitoroshaje kwa mfano? Lakini pia watu waelewe kwamba laizer sio Mchimbaji mdogo; Laizer Yuko na Jirani yangu Kule Mlangarini tumepakana Mashamba yangu Fulani ivi Mmasai maarufu kama KAKAA kwenye Mgodi huo wako yeye na laizer, of which laizer ana 40% na Kakaa ni asilimia 60% ya Mgodi; lazier ndo alitoa Idea ya Kuuza kwa serikali baada ya Harakati za Kutorosha Jiwe kukwama kutoka na Ukuta; Hayo Mawe yalipatikana December 19 Mwaka jana, Halafu Mgodo ukatema Tena February 3. Niko speed sana wazee hii inatosha kwa sasa.
Huyo Kakaa ni Mafia Balaa, Kwenye masuala ya Kutorosha ni Master huyo jamaa.

Warioba Mashaka,
St. Georges, Bermuda
 
Back
Top Bottom