jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Yes, kupata kazi pale kitengo hicho, ni kama umetoka flani hivi. Hilo linatambulika kabisa.🤦🏾♂️Wale kwa mwezi walikua wanapakua hata 50kg ...mana wafanyakazi walikua wanaiba mawe makubwa mtu mmoja anaweza toka na jiwe la 300m