paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Mkuu huyo Laizer ni mtu ana hela zake long time since 1995Kwa mawe anayoyaibua bado anaitwa mchimbaji mdogo. Sasa mchimbaji mkubwa ni yupi huyo?
Hapo ssjohnthebaptist hivi kweli mtu anayemiliki mpaka"Mall" eneo sakina "Opposite" Seven Up bado ni mchimbaji mdogo?
Hapana. Hili alilipata June kipindi kimoja na yale mengine.Hakuna lililofichwa kesi yake ilishaisha,hili la leo ni mojawapo ya mawe aliyoyatoa mwishoni mwa mwezi wa 7
Wala usipatwe na hofu hakuna figisu zozote hapo,uzuri wa tanzanite ukidumbukia kwenye mtaro basi ni ya kuchota tuu,kampuni ya tanzanite one ilikuwa inatoa madini zaidi ya hayo mkuu
Mkuu huyo Laizer ni mtu ana hela zake long time since 1995
Hapana nielewe nipo kwenye hili game napambana,kipindi kile cha yale mawili kweli yalitoka 3 ila moja lilifichwa ila lilikuja kupatikana na aliekamatwa nalo alikaa ndani ila baada ya hayo mawe nadhan week 3 zilizopita alitoa tena madini mojawapo ni hili la leoHapana. Hili alilipata June kipindi kimoja na yale mengine.
Kwamba isije kuwa ni yaleyale yanauzwa kwa mara ya pili?πππ GTsSipingani na Laizer ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii tanzanite ni kilo 6.33
Maendeleo hayana vyama
Huyo ni mchimbaji wa katiNdio mkuu,mie nimeuliza status yake ya "mchimbaji mdogo" badala ya wa kati,wastani au mkubwa
Kwamba isije kuwa ni yaleyale yanauzwa kwa mara ya pili?πππ GTs
bwana??
Sipingani na Laizer ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.
Sawasawa..Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
Laiser sasa sifa hiyo duh!!!!Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii tanzanite ni kilo 6.33
Maendeleo hayana vyama
Dah kwahiyo yameibiwa mengi tu.Wala usipatwe na hofu hakuna figisu zozote hapo,uzuri wa tanzanite ukidumbukia kwenye mtaro basi ni ya kuchota tuu,kampuni ya tanzanite one ilikuwa inatoa madini zaidi ya hayo mkuu
Hahahaa poyoyo katika ubora wake.endelea kupata hofu huku wengine wakiwa mabilionea
Hofu Zangu ni hizi:
1. Very soon serikali itautaifisha huo mgodi wa Laizer,
2. Thamani ya Tanzanite Tanzania itapungua sana due to forces of supply and demand,
3. Itafik Mahala serikali itashindwa kununua hayo makilo yaTanzanite siku zinazosonga ikiwa Laizer atazidi kuyapakuwa wiki hadi wiki.
Sio Hatoroshi Brother; Yaan sasa hivi jiwe kama lile unalitoroshaje kwa mfano? Lakini pia watu waelewe kwamba laizer sio Mchimbaji mdogo; Laizer Yuko na Jirani yangu Kule Mlangarini tumepakana Mashamba yangu Fulani ivi Mmasai maarufu kama KAKAA kwenye Mgodi huo wako yeye na laizer, of which laizer ana 40% na Kakaa ni asilimia 60% ya Mgodi; lazier ndo alitoa Idea ya Kuuza kwa serikali baada ya Harakati za Kutorosha Jiwe kukwama kutoka na Ukuta; Hayo Mawe yalipatikana December 19 Mwaka jana, Halafu Mgodo ukatema Tena February 3. Niko speed sana wazee hii inatosha kwa sasa.Kwanza hatoroshi madini