Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo.

Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano.

Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua laptops na simu used ambazo ni bei rahisi sana na kwenda kuziuza kwa faida safi huko kwao.
 
Jaman anaejua chimbo la used spea za magari aje atupe a b c hapa mana tunataka kujifunza Kwa waliofanikiwa
 
Nauli hadi dubai sh ngapi kwanza

IMG_1605.png
 
Jaman anaejua chimbo la used spea za magari aje atupe a b c hapa mana tunataka kujifunza Kwa waliofanikiwa

Kuna wapemba wanaingia dubai kufunga spea za baiskel na gari. Nafikiri ingia field utapata taarifa.
 
Dubai refurb electronic ni nyingi, ata mitumba ya vyombo vya usafiri i.e magari, baiskel
 
Back
Top Bottom