sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Awangoje waje kumpa muongozo...Smart911 nsipokutana na uzi comment yako popote uzi unakuwa hujakamilika weka neno
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Jaman anaejua chimbo la used spea za magari aje atupe a b c hapa mana tunataka kujifunza Kwa waliofanikiwa
safi kaka kwa ushauri mzuriKuna wapemba wanaingia dubai kufunga spea za baiskel na gari. Nafikiri ingia field utapata taarifa.