Mchina amenakili Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind

Mchina amenakili Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind

Nissan Murano na VW Tuareg zinashabihana sana

Nissan March na Toyota starlet zinashabihiana sana

Ni kawaida sana ktk magari
 
Nissan Murano na VW Tuareg zinashabihana sana

Nissan March na Toyota starlet zinashabihiana sana

Ni kawaida sana ktk magari
 
me mchina nachotumia chake labda toyo mara moja moja ila asante mchina nitanunua land wind used itakuwa somewhere around 15m ntatoa badge ya land wind ntaeka range rover full stop
Nyie ndo mnasababishwa badge zetu ziibwe hebu nambie utaipata wapi?
 
Hawa ni mabingwa wa kuharibu biashara za wenzao
Nawapenda sana wanapunguza classes gap e.g utapata almost kila kitu cha iPhone 6 kwenye Chinese brand for affordable price na muda unapopita yule aliyenunua original huku ana hela ya mawazo anaanza kujilaumu
 
Habari wadau,
Katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hili nkaona sio mbaya kuja kushare nanyi. Kwa hakika mchina sio mtu mzuri, sikujua kama angeweza kufanya kitendo hiki cha kuiabisha kampuni kubwa yenye heshima duniani ya Jaguar Land Rover kwa kufanya copycat ya ile Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind. Hebu tizameni muone utundu huu mi nilijua kaishia kwenye simu tu na tv, kumbe daahh......

Mwisho kabisa tutoe credits yupi katisha kati yao wawili JLR- Evoque au Mchina Land Wind?

View attachment 351354

View attachment 351355
View attachment 351356

View attachment 351357
Versus Land wind,

View attachment 351359

View attachment 351360

View attachment 351361
Mchina asante kufanya Africa sebuleni kwako
 
Kajitahidi ila kafeli sana muundo kajitahidi ila show na taa za mbele na nyuma hakuna kitu
 
Mchina anamaana basi, hapo unaweza ukaitandika speed hiyo land wind halafu ghafla tairi yako ya nyuma ukaiona imekutangulia mbele.
We jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bisha
 
We jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bisha
amuulize dar express au kilimanjaro kitu tahmeed kawafanyia
 
Range lovers mwaka juzi walipeleka malalamiko kwenye usuluhisho wa kibiashara ,nadhani walibwagwa
 
Mwaka juzi range lover walipeleka malalamiko kwenye suluhisho la migogoro ya kibiashara na hati miliki juu ya wind land ,nadhani range lover walibwagwa
 
We jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bisha

Kwenye mabasi mchina kwa kukomesha kaleta zina USB port kwenye kila kiti, unaweza Ku charge simu yako ukiwa safarini, ilimradi uwe na cable tu.
 
Okay kwahiyo mimi kuanzia sasa nazisubiri hizi land wing sijui land wind nichapie watu mijeledi mtaani
 
We jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bisha
Siku hizi ni zhong tong tu au higer maana hamna namna, torino na andare zote ngarangara tu mbele ya mchina! Sio kwamba scania ni gari mbaya ila zile zilizopo hazi accomodate mahitaji ya kisasa ya wasafiri. Luxurious needs kama siti nzuri, usb charging ports, television, choo ingawa bongo bado hazijaletwa za hivyo!
Scania zipo za luxurious ila matajiri hawajaleta.Wakileta tutarudi ila for now lets do the Chinese brands maana ndio anatutimizia vyema.
 
Kwenye mabasi mchina kwa kukomesha kaleta zina USB port kwenye kila kiti, unaweza Ku charge simu yako ukiwa safarini, ilimradi uwe na cable tu.
Dah mi sijabahatika kupanda basi la namna hio mkuu, natamani kweli yani niligumie kila nalopanda chenga!
 
Back
Top Bottom