valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
Nyie ndo mnasababishwa badge zetu ziibwe hebu nambie utaipata wapi?me mchina nachotumia chake labda toyo mara moja moja ila asante mchina nitanunua land wind used itakuwa somewhere around 15m ntatoa badge ya land wind ntaeka range rover full stop
Nawapenda sana wanapunguza classes gap e.g utapata almost kila kitu cha iPhone 6 kwenye Chinese brand for affordable price na muda unapopita yule aliyenunua original huku ana hela ya mawazo anaanza kujilaumuHawa ni mabingwa wa kuharibu biashara za wenzao
Mchina asante kufanya Africa sebuleni kwakoHabari wadau,
Katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hili nkaona sio mbaya kuja kushare nanyi. Kwa hakika mchina sio mtu mzuri, sikujua kama angeweza kufanya kitendo hiki cha kuiabisha kampuni kubwa yenye heshima duniani ya Jaguar Land Rover kwa kufanya copycat ya ile Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind. Hebu tizameni muone utundu huu mi nilijua kaishia kwenye simu tu na tv, kumbe daahh......
Mwisho kabisa tutoe credits yupi katisha kati yao wawili JLR- Evoque au Mchina Land Wind?
View attachment 351354
View attachment 351355
View attachment 351356
View attachment 351357
Versus Land wind,
View attachment 351359
View attachment 351360
View attachment 351361
We jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bishaMchina anamaana basi, hapo unaweza ukaitandika speed hiyo land wind halafu ghafla tairi yako ya nyuma ukaiona imekutangulia mbele.
amuulize dar express au kilimanjaro kitu tahmeed kawafanyiaWe jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bisha
Ulimbukeni tu hata hzo brands za Ulaya na America viwanda baadhi vipo China zingne hadi AfricaKati ya Scania, Benzi na Mabasi ya kichina, yapi yametawala barabara? Full luxury
We jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bisha
la PUNDAMchina t.a.k.o
Siku hizi ni zhong tong tu au higer maana hamna namna, torino na andare zote ngarangara tu mbele ya mchina! Sio kwamba scania ni gari mbaya ila zile zilizopo hazi accomodate mahitaji ya kisasa ya wasafiri. Luxurious needs kama siti nzuri, usb charging ports, television, choo ingawa bongo bado hazijaletwa za hivyo!We jifurahishe scania wenzio wanaisoma namba chezea Wachina nadhani hata wewe cku hz ukikata ticket unachagua basi brands zao bisha
Dah mi sijabahatika kupanda basi la namna hio mkuu, natamani kweli yani niligumie kila nalopanda chenga!Kwenye mabasi mchina kwa kukomesha kaleta zina USB port kwenye kila kiti, unaweza Ku charge simu yako ukiwa safarini, ilimradi uwe na cable tu.