Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

Ukiona hivyo ujue huyo mchina ni mbia wa M/Mwenyekiti wetu, kazi iendelee tu kwanza hawa tembo wamezidi kuwa wengi hadi wanahatarisha usalama wa wananchi wetu na mazao yao mashambani
 
Hii nchi Mimi binafsi naona ukifatilia kila makosa yanayofanywa na mamlaka unaweza kuumwa na ugonjwa wa afya ya akili kwa vile huna uwezo wa kufanya tofauti.
Ni mawili kuchukua hatua au kumwachia Mungu. Binafsi hatua zimegoma. Nimemwachia Mungu. Mungu atudaidie. Mungu atuamulie. Sisi waja hatuna nguvu. Nguvu zimetekwa, zimedhoofishwa, zimeng'olewa...hatuna uwezo sisi eeh Mungu tusaidie.
 
Kila hakimu na Atakavyoona inafaa hakuna kitabu cha Hukumu
 
Ukiwa na kesi ya jinai, kitachokuokoa ni kuweka mazingira mazuri NPS na DPP.
Uwe na mawakili wazuri waanze mchakato wa plea kabla hujaitwa mahakamani
 
"Rasimu ya warioba irudi mezani sasa iwe Katiba mpya"

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya uharakishwe"
Plea bargain ipo, na ili ifanye kazi kuna kiasi utapenyeza kwa mawakili
 
Mimi naona kuna shida kwenye sheria zenyewe kwani hizi sheria zinatungwaje jamani mbona kama zimetungwa na watu wasio na utimamu wa akili
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]No sheria zipo sawa sema tu zinapindishwa makusudi kwa maslahi ya watu fulani na hakuna wafuatiliaji au watetezi kesi zinaisha kimyakimya.
 
Mimi naona kuna shida kwenye sheria zenyewe kwani hizi sheria zinatungwaje jamani mbona kama zimetungwa na watu wasio na utimamu wa akili
sheria hazina shida, shida ipo kwa wanao zitafsiri
 
Ni mpumbavu tu, atakaye weza kuelewa huu uwozo. Sheria ni msumeno inatakiwa ikate pande zote.
Shida ni sisi kwa sisi hatupendani. Tunathamini wageni kuliko wazawa hakika hii ni Sheria kandamizi inapaswa kuangaliwa upya.
Wakuiangalia ni akina Jaa pipo, Loose indoor, Moose cum and the like
 
Is this a joke? Au ni Fact!
Wewe labda hujamuelewa jamaa alichoongelea.
Yaani kuna wakati mwingine sheria zinatungwa kimitegomitego fulani ambayo jaji au hakimu ana uwezo wa kuzichezesha au kuzipindua vile atakavyo kutegemea na status ya mtuhumiwa.
Kwa mfano kuna hukumu 2 tofauti za mtu anayekamatwa na bangi,kuna anayeuza bangi hukumu yake ni tofauti na mtu anayetumia bangi.
 
Mbele ya macho ya Sheria "status " inaamua uwekwe kundi lipi??
 
Alaf wanamtukana Morocco Kwa kuwakana ,
 
Alaf wanamtukana Morocco Kwa kuwakana ,
It's very paniful to be rejected and oppressed by your own race.

Hiyo ndiyo Tanzania ya mama.
Tuwalinde, tusiwabuguzi wawekezaji kumbe hakuna cha wawekezaji bali ni majizi ya rasilimali zetu za asili.
 
Kwa kifupi kabisa, hapo huyo Mchina ameshawanunua karibu watu wote wanaohusika. Hapo kuna watu wa mahakama, TAKUKURU, Watu wa Maliasili pamoja na mnyororo wote unaohusika na mambo hayo, huyo Mchina ameshawanunua na kawatia mfukoni mwake.
 
Kesho lazima akaue tena wenye thamani ya billion 10,anajua akilipa faini ya laki tano na kifungo cha miezi 6 faida anayo tena kubwa Sana, Acha tuendelee kumaluzana wenyewe kwa wenyewe tu
 
Siku za karibuni katika mtandao wa Whatsapp na Twitter imekuwa ikisambaa picha iliyounganishwa ikionesha hukumu za matukio mawili yanayohusisha watuhumiwa waliokamatwa na nyara za serikali (Meno ya tembo).
Ya kwanza ni taarifa ya Disemba 16 2019 inayomhusu Bi Haika Mgao na inasomeka:

"Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu, Haika Mgao (26) kutumikia kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo na ya kiboko yenye thamani ya Shilingi milioni 69.5, mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."



Ya pili ni ya tarehe 15 Disemba 2019 inamhusu Rais wa China China, Liang Hu na inasomeka:
"Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu raia wa China, Liang Hu kulipa fidia TZS 50 milioni kwa kosa la kuua tembo 511 wenye thamani ya TZS 7 bilioni. Pia alitakiwa kulipa faini TZS 300,000 au kifungo cha miezi mitano jela. Mtuhumiwa aliandika barua kwa DPP kukiri makosa yake."



Matukio yote mawili ni ya mwaka 2019 na hukumu zake zilipishana siku tano tu, tena ikianza ile ya raia wa kigeni kisha ikafuata ya binti wa miaka 26 tu.

"Wakati tunapiga kelele kusema alikuwa ra**s wa wanyonge tukumbuke alimfunga miaka 60 binti wa miaka 26 kisha akamuachia huru kinara na malkia wa mauaji wa tembo aliyeua tembo zaidi ya 510"
 
Aiseeee !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…