Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue huyo mchina ni mbia wa M/Mwenyekiti wetu, kazi iendelee tu kwanza hawa tembo wamezidi kuwa wengi hadi wanahatarisha usalama wa wananchi wetu na mazao yao mashambaniNimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Kila hakimu na Atakavyoona inafaa hakuna kitabu cha HukumuNimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Plea bargain ipo, na ili ifanye kazi kuna kiasi utapenyeza kwa mawakili"Rasimu ya warioba irudi mezani sasa iwe Katiba mpya"
"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya uharakishwe"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]No sheria zipo sawa sema tu zinapindishwa makusudi kwa maslahi ya watu fulani na hakuna wafuatiliaji au watetezi kesi zinaisha kimyakimya.Mimi naona kuna shida kwenye sheria zenyewe kwani hizi sheria zinatungwaje jamani mbona kama zimetungwa na watu wasio na utimamu wa akili
sheria hazina shida, shida ipo kwa wanao zitafsiriMimi naona kuna shida kwenye sheria zenyewe kwani hizi sheria zinatungwaje jamani mbona kama zimetungwa na watu wasio na utimamu wa akili
Wakuiangalia ni akina Jaa pipo, Loose indoor, Moose cum and the likeNi mpumbavu tu, atakaye weza kuelewa huu uwozo. Sheria ni msumeno inatakiwa ikate pande zote.
Shida ni sisi kwa sisi hatupendani. Tunathamini wageni kuliko wazawa hakika hii ni Sheria kandamizi inapaswa kuangaliwa upya.
Wengi sana more than 60000Nchi hii Ina Tembo kiasi gani hadi uue 500 plus na bado wakabaki? Tuanzie hapo kwanza.
Wewe labda hujamuelewa jamaa alichoongelea.Is this a joke? Au ni Fact!
Mbele ya macho ya Sheria "status " inaamua uwekwe kundi lipi??Wewe labda hujamuelewa jamaa alichoongelea.
Yaani kuna wakati mwingine sheria zinatungwa kimitegomitego fulani ambayo jaji au hakimu ana uwezo wa kuzichezesha au kuzipindua vile atakavyo kutegemea na status ya mtuhumiwa.
Kwa mfano kuna hukumu 2 tofauti za mtu anayekamatwa na bangi,kuna anayeuza bangi hukumu yake ni tofauti na mtu anayetumia bangi.
Alaf wanamtukana Morocco Kwa kuwakana ,Ni mpumbavu tu, atakaye weza kuelewa huu uwozo. Sheria ni msumeno inatakiwa ikate pande zote.
Shida ni sisi kwa sisi hatupendani. Tunathamini wageni kuliko wazawa hakika hii ni Sheria kandamizi inapaswa kuangaliwa upya.
Sheria Duniani bali Haki Mbinguni
It's very paniful to be rejected and oppressed by your own race.Alaf wanamtukana Morocco Kwa kuwakana ,
Aiseeee !!!Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142