Na aliua kwa muda gani and how could they prove kwamba ni 511 na sio 505 ? Hii habari ukiangalia kwa jicho la upembuzi yakinifu linaleta ukakasi hii figure huenda ina typo
Ndio maana tunasema sheria ni kandamizi kwa masikini, plea bargain ni hadi uwe na wanasheria wa kukushauri hivyo , pia uwe na connection, vinginevyo huyo Dpp utamuonea wapi?
Assume ingekua china umefanya hivo ngozi nyeusi inavyochukiwa,nje uchukiwe hata Kwenu pia,,, Africa aliyeturoga alaaniwe,yan unamkandamiza ndugu yako ila mwingine unalegeza kisa ngozi nyeupe smh,,