Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Plea bargain.Na aliua kwa muda gani and how could they prove kwamba ni 511 na sio 505 ? Hii habari ukiangalia kwa jicho la upembuzi yakinifu linaleta ukakasi hii figure huenda ina typo
Amekiri kosa kwa dpp mzee