Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

Na aliua kwa muda gani and how could they prove kwamba ni 511 na sio 505 ? Hii habari ukiangalia kwa jicho la upembuzi yakinifu linaleta ukakasi hii figure huenda ina typo
Plea bargain.
Amekiri kosa kwa dpp mzee
 
Mchina kwenyw Uhujumu Uchumia kaomba PLEA BARGAIN mzee.

Katokea hapo
Ndio maana tunasema sheria ni kandamizi kwa masikini, plea bargain ni hadi uwe na wanasheria wa kukushauri hivyo , pia uwe na connection, vinginevyo huyo Dpp utamuonea wapi?
 
Assume ingekua china umefanya hivo ngozi nyeusi inavyochukiwa,nje uchukiwe hata Kwenu pia,,, Africa aliyeturoga alaaniwe,yan unamkandamiza ndugu yako ila mwingine unalegeza kisa ngozi nyeupe smh,,
 
Yule mtanzania wa miaka 60 jera hakufungwa kwa kosa la kukutwa na nyama ya swala Ila alifungwa kwa kosa la kuto kuwa na Hera/pesa/Ankara/makuta
 
Swala miaka 22 tembo miaka 5 Mungu anawaona,hii nchi kuna jambo halijakaa sawa.
Code:
 
Back
Top Bottom