Unawabeza wachina eti wanasubiri mpaka wapewe teknolojia? Katika dunia ya sasa amboapo wanaweza kununua gari moja tu na kulisasambua na kulisoma kila kitu ndo wasubiri kupewa teknolojia? Hawajaamua tu kwa sababu ambazo wanaona wao. Pia bado soko la afrika halijaonesha kuchangamkia magari ya umemeAnasubiri apewe technology na wazungu.. wamarekani Kwa sasa hawatoi technology yao ovyo.. mchina Hana anachojua Zaid ya kukopy
Inawezekana maana kwenye masoko ya kimataifa China inaongoza kwa kuuza magari ya umeme. Pia kwenye utengenezaji China inang'aaItakua bado hajaanza kufyatua yale ya bei ya chini mkuu mi navyomjua mchina hashindwi kitu
Vijana wa hovyo mpo wengi sanaAnasubiri apewe technology na wazungu.. wamarekani Kwa sasa hawatoi technology yao ovyo.. mchina Hana anachojua Zaid ya kukopy
Hiyo lithium haina mbadala? Sisi tunachotaka ni gari la umeme hata kama litatumia betri za kawaida mradi litembee. Na liwe linachajiwa kwa chaja za kawaida kama za simu mtu ukiwa nyumbani, ofisini, bar nk unapachika kwenye chaji!mchawi kwenye EV ni Lithium , ambayo demand yake ni kubwa kuliko supply
Ziko mapaka bajaji za solar zimejaa, shida kubwa nchi yetu hawaweki sera kuondoa ushuru au kupunguza kwa kiasi kikubwa gari za umeme au bajaji za solar ilikuhamasisha watu kuagiza kwa wingi. Fursa zipo.Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Mbona mchina anatengeneza magari ya umeme toka kitambo....Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Kwakweli nadhani imefika wakati sasa wa kuhama kutoka kwenye magari yanayotumia hizi fossil fuels maana sioni future yoyote kila siku ni kupigwa tuu.Unawabeza wachina eti wanasubiri mpaka wapewe teknolojia? Katika dunia ya sasa amboapo wanaweza kununua gari moja tu na kulisasambua na kulisoma kila kitu ndo wasubiri kupewa teknolojia? Hawajaamua tu kwa sababu ambazo wanaona wao. Pia bado soko la afrika halijaonesha kuchangamkia magari ya umeme
Wabongo munapenda kupayuka na misifaa kede kede na ujinga kwa wingii .Unataka gari ya umeme unaijua bei yake .Unataka gari ya Umeme unao umeme wa uhakika je una energy ya kutoshaaaa ,kabla ya kutaka haya pigania umeme na maji ya uhakika pamoja na bara bara hayo mengine yote yatafuata baadae .Munataka maendeleo kwa mdomo tu hakuna kitu hicho .Usione vyaelea vimeundwa.Duniani hakuna ujinga wa umeme kukatwa na kuzimwa including maji pamoja na barabara huo ujinga wa umekatika umeme na kuzimwa ni Tanzania tu .Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.