Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo sema lithium ndio commercialHiyo lithium haina mbadala? Sisi tunachotaka ni gari la umeme hata kama litatumia betri za kawaida mradi litembee. Na liwe linachajiwa kwa chaja za kawaida kama za simu mtu ukiwa nyumbani, ofisini, bar nk unapachika kwenye chaji!
Ni kweli China imekuwa tishio kwa mataifa ya Ulaya na sasa inaongoza kwa kutengeneza kwa wingi magari yanayotumia umeme. Hapo awali Ujerumani ilikuwa na nafasi hiyo lakini kwa sasa wamerudi nyuma. Wachina wako vizuri Sana katika sekta nyingi za teknolojia, kwa sasa hata AI wapo vizuri sana na ndio sababu mataifa mengine wanawawekea figisu katika kuwauzia vifaa muhimu vya kielektroniki.Mbona mchina anatengeneza magari ya umeme toka kitambo....
Kuna mtangazaji wa Redio ya Clouds FM anaitwa Kennedy the Remedy, alienda China akawa anatuonesha maisha ya China, wana gari za umeme tena za kisasa, lakini kwa Mujibu wa Kennedy the Remedy, gari zao zinauzwa moja kwa moja Ulaya, China haina soko la moja kwa moja la Magari Afrika, na kama unataka gari lao basi itabidi uende Ulaya ukanunue kisha ulete Afrika. Na kipindi anaongea alikuwa kwenye gari moja la kichina ambalo ni la umeme na lina mfumo wa AI (Artificial Intelligence), ambapo pia linaweza kujiendesha... Lakini linatumia lugha ya Kichina na kuna sauti ya Robot ambae ni msaidizi wako wakati wa kuwasha na kuendesha gari lakini unazungumzia nae kwa kichina tu, vile vile kuna mchina akasema kama unataka lenye mfumo wa lugha ya kiingereza yapo, lakini upelekwa moja kwa moja kwenye soko la ulaya.
Sasa hicho si kama ki IST tuSo unatoa milion 11 kununu icho kigar mkuu
Ndio mkuuSo unatoa milion 11 kununu icho kigar mkuu
Nataka nikuonyeshe Takataka zinazotoka chinaSerious brother yaan unazungumzia SAN LG FECON HAOJUE nk then unataka ulinganishe na HONDA YAMAHA KAWASAKI
kwanza sijaelewa msingi wa QUOTE yako unabisha unanikatalia au unanieleza
Wakinaliza walete na power bank kabisaHiyo lithium haina mbadala? Sisi tunachotaka ni gari la umeme hata kama litatumia betri za kawaida mradi litembee. Na liwe linachajiwa kwa chaja za kawaida kama za simu mtu ukiwa nyumbani, ofisini, bar nk unapachika kwenye chaji!
Kuna gesi zipo.Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
WaTz je, tutachangamka lini?!Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Ni kweli, ila sio yao ( I mean brand si zao).Mbona China ndio inaongoza kwenye utengenezaji wa magari ya umeme?
Tatizo hayaji huku kutokana na bei