G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Ubaya wa gari ya umeme inapungua ufanisi kadri inavyozidi kutumika. Ukinunua gari ya umeme kama ilikuwa inaenda kilometre 400 ndio uchaji ikiwa mpya basi utapoinunua used itakuwa imepungua labda inaenda kilometre 200 kabla ya chaji kuisha.Au labda tusubirie mpaka yaanze kuuzwa used ndio bei zitakua rafiki
Hii ni tofauti na conventional cars za fossil fuels. Ambapo hata likiwa limetumika ufanisi unakuwa upo zaidi ya 80% na yanadumu muda mrefu sana.