Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

Anasubiri apewe technology na wazungu.. wamarekani Kwa sasa hawatoi technology yao ovyo.. mchina Hana anachojua Zaid ya kukopy
Inaonekana hufuatilii, Volkswagen ya ujerumani inanunua teknolojia za gari za umeme kutoka kampuni za china. Wamesaini mikataba na kampuni za magari ya umeme kama leapmotor, xpeng na saic

Mambo yanabadilika ndugu
 
Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.

Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.

Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Shida yetu wabongo ni kuongea tu bila kufanya research, juzi hapa nilikuwa naongea na mwakilishi wa kampuni moja ya mauzo ya magari ya umeme no fosil fuel.

Shida ya kwanza, tanzania tunatumia used cars, china wanatumia left hand, so used car za china ni changamoto kwetu, ukitaka RHD ni lazima utakuta ni brand new car, cheki na bei hapo chini niliyotajiwa, hapo bado registation za tra na sijui itakuwa ngapi hasa ukizingatia CIF ni kubwa kiasi hicho, je nani ata mudu brand new electric car from china?

Kama unataka bajet electric car agiza Nissan leaf 1st generation toka japan ambapo mpka inafika mkononi ni kama 15m hadi 20m na hizi ndizo electric car nyingi ninazokutana nazo hapa dar
 
Attachments

  • Screenshot_20230906-095634_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20230906-095634_WhatsApp.jpg
    435 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230906-095603_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20230906-095603_WhatsApp.jpg
    455.3 KB · Views: 2
Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.

Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.

Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Kwanini usitengeze wewe kwani wewe unatofauti gani na mchina?matatizo ya mafuta yako China au nchini mwako?
 
Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.

Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.

Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Any car can be converted into electric vehicle with easy. Huitaji kununua gari ya umeme toka china. Just buy EV conversion kit. Hii itafanya ist yako iwe gari ya umeme.

Changamoto iliyopo sasa ni kwenye battery price na range. Kupata battery itakayokupeleka kilomita zaidi ya 200 on a single charge.

View: https://youtu.be/y0LFeX8JOCU?si=pG3G60CNvpyhOVfw

Other wise, nunua conversion kit kama ilivyo kwenye ilo link hapo.
 
Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.

Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.

Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Kwani huo umeme ndo utakuwa wa nafuu bwashee, kitu cha utosini kiko palepale.
 
Nikuweke sawa ni AFRICAN COUNTRIES ndiyo kuna unstable power supply
 
Kuna Yule engineer anaezalisha petrol Kwa kutumia plastics toka Udom nadhani
Angepewa sapoti aweze kuzalisha Kwa kiwango kikubwa ,ila sidhani kama itawezekana Kwa maana namna watu weusi tulivyo wa hovyo
Simple tu yeyeto anatengeneza hata home hata mimi nafanya project hio kwa matumizi yangu binafsi.
Plastic utokana na petrol
 
Mleta mada huwajui wachina wewe. Yeye anasubiri wakubwa wote Marekani, Ujerumani, Ufaranasa, Uingereza, Japani na wengineo watengeneze magari ya umeme halafu yeye mchina anannunua moja moja kutoka kwa hao wakubwa. Wakijifungia ndani na hayo magari miezi sita anatoka na gari lake chotara ya hayo magari ya nchi zote. Mchina yeye ni bingwa wa kukopi na kupesti lakini akiwa ameboresha kidogo na kupunguza gharama.
 
Back
Top Bottom