Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
S
Kiwanda kilichopo shangai Cha magari hayo ya umeme ni Cha Elon musk's mmarekan..na alitishia kukiamishia amerika wachina wakaanza lialia watakosa ajira... serikali ya mchina ikampigia magoti asikiamishe...
Mchina Hana hyo technology Hadi wamarekani waruhusu awe nayo..yy kama yy hawez
Sio akili za kitumwa... mchina hyo technology bado hajapewana wamarekani...Anasubir vip na anayo kibao mkuu sio kila kitu ni wazungu acha akili za kitumwa