Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anaehofia QUALITY bana ni vile SOKO LA AFRICA halina faida kwao usisikilize propagandaYapo mengi sana Tatizo watu wanahofia quality na ndio competitor mkubwa wa TESLA.
Huko tuendako tutakuja kuwaomba wachina wawape mimba wake zetu...Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Sio dharau mkuu, mimi naelewa vikwazo tunavyowekeana kwenye suala zima la ubunifu.Acha dharau kijana... Wabunifu ni wengi sana shida serikali yetu ndio inakwamisha, wazee wamekaa maofisini ukiwapelekea idea, wana kwambia haiwezekani... Nenda YouTube katafute kipindi cha power breakfast cha clouds FM juzi kati walimuhoji dogo anayeitwa Samson anatengeneza petrol kwa kutumia takataka za plastiki, na alivyoenda serikalini kuomba mkopo wa vijana wa milioni 50 wakamwambia nenda kalime, achana na hii. Masoud Kipanya naona ndio ameamua kumshika dogo mkono
Yapo kitambo sana tangu 2005 sasa hivi wako kwenye solarKulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Nilitaka nimuulize anaeongoza ni nanMbona China ndio inaongoza kwenye utengenezaji wa magari ya umeme?
Tatizo hayaji huku kutokana na bei
Hapo changamoto ni elimu na ufahamu wa mambo ya kidunia yeye akishakaa kijiweni wakadanganyana anadhani jf ni kijiwe cha wajinga kama mtaani kwake. Hawa ndio vijana watakaoshika taifa kwa miaka ijayo akili kisodaVijana wa hovyo mpo wengi sana
Anasubiria aje kuigaKulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za mafuta na maringo ya wenye sheli.
Nawashauri wakombozi wetu Wachina waingie chimbo haraka sana wazalishe magari madogo mazuri yanayotumia umeme na watapiga hela ndefu maana yatanunuliwa kama njugu!
Au labda tusubirie mpaka yaanze kuuzwa used ndio bei zitakua rafikiView attachment 2740524
Mchina anatengeneza tayari, ila bei yake sio rafiki bado kwa wengi! Ila kuna watanzania wenyetu wanazo, mfano hiyo hapo juu Li L9.
Sio hawajaamua , wanatengenezaUnawabeza wachina eti wanasubiri mpaka wapewe teknolojia? Katika dunia ya sasa amboapo wanaweza kununua gari moja tu na kulisasambua na kulisoma kila kitu ndo wasubiri kupewa teknolojia? Hawajaamua tu kwa sababu ambazo wanaona wao. Pia bado soko la afrika halijaonesha kuchangamkia magari ya umeme