Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

So unatoa milion 11 kununu icho kigar mkuu
Mkuu hicho ukishakinunua si hakuna gharama ya mafuta we ni kuchaji tu kama simu unaenda zako. Hakuna cha service sijui kubadilisha oil sijui nini..
 
Hiyo lithium haina mbadala? Sisi tunachotaka ni gari la umeme hata kama litatumia betri za kawaida mradi litembee. Na liwe linachajiwa kwa chaja za kawaida kama za simu mtu ukiwa nyumbani, ofisini, bar nk unapachika kwenye chaji!
Zipo sema lithium ndio commercial
 
Ni kweli China imekuwa tishio kwa mataifa ya Ulaya na sasa inaongoza kwa kutengeneza kwa wingi magari yanayotumia umeme. Hapo awali Ujerumani ilikuwa na nafasi hiyo lakini kwa sasa wamerudi nyuma. Wachina wako vizuri Sana katika sekta nyingi za teknolojia, kwa sasa hata AI wapo vizuri sana na ndio sababu mataifa mengine wanawawekea figisu katika kuwauzia vifaa muhimu vya kielektroniki.
 
Serious brother yaan unazungumzia SAN LG FECON HAOJUE nk then unataka ulinganishe na HONDA YAMAHA KAWASAKI

kwanza sijaelewa msingi wa QUOTE yako unabisha unanikatalia au unanieleza
Nataka nikuonyeshe Takataka zinazotoka china
 
Hiyo lithium haina mbadala? Sisi tunachotaka ni gari la umeme hata kama litatumia betri za kawaida mradi litembee. Na liwe linachajiwa kwa chaja za kawaida kama za simu mtu ukiwa nyumbani, ofisini, bar nk unapachika kwenye chaji!
Wakinaliza walete na power bank kabisa
 
Kuna gesi zipo.
Kuna magari ya umeme pia hapa nchini japo si mengi
 
WaTz je, tutachangamka lini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…