Mchina yeyote asiyezungumza Kiswahili na Kingereza kufurushwa Kenya

Mchina yeyote asiyezungumza Kiswahili na Kingereza kufurushwa Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mikakati inafanywa ya kubadilisha taratibu za upokezwaji wa vibali vya ajira, mgeni yeyote ambaye hatokua na uwezo wa kuzungumza lugha yetu ya taifa, itambidi ajifunze huko huko kwao kwanza ndio aruhusiwe.
----------------------------------------------------

Chinese employees working on the Standard Gauge Railway (SGR) will be denied work visas if they are not fluent in Swahili or English, the Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) chairperson Kagwira Mbogori outlined.

The KNCHR boss further stated that the body would push for the revocation of their work permits should they fail to communicate in the national languages.

"Our view is that no migrant worker should be allowed to work in Kenya if they can’t express themselves fluently either in English or Kiswahili," Ms Mbogori stated.

The human rights body alleged that the failure to speak local languages was a major reason behind the alleged mistreatment of workers.


Labour Cabinet Secretary (CS) Ukur Yatani, who appeared before the Senate Labour and Social Welfare Committee, conveyed that the current employees had already been enrolled for the language classes.

The Labour CS told the Johnson Sakaja-led committee that the workers on the Mombasa - Nairobi line were learning English on three nights of the week.

"In addition, they have translators at their workstations," Yatani conveyed.

The CS told Senators that a multi-agency committee had found that the main issue between China Bridge and Road Corporation (CRBC) and employees was due to the fact that the employers are young and with high expectations.

"The committee of inquiry which had seven days to report accomplished the task and filed a report presenting preliminary findings on issues in view of the fact that there was a constraint in time, long distance between stations and the many issues that were being handled," he stated.

He further added that the probe team has ascertained that the employees were working under serious occupational and safety hazards.


Chinese to Be Deported for Failing to Speak National Languages
 
Kuna Video nimeiona Leo
kiukweli Wakenya mna tufanya tujione Aibu Waafrika dhidi ya Wachina Du!!

Mjione duni mkiwa na akina nani, afu hujawahi kutuliza mahaba yako kwa Wakenya, ulikua unakesha sana humu Kenyan forums kutufuatilia, nilifikiria ulishanyakuliwa, karibu tena mrembo....
 
Another half baked idea, roho mbaya ya mtu huwezi kuwa badilisha kwa kumfundisha lugha Tena akijuwa lugha, ndio atawatuka kwa lugha yenu hiyo mliomlazimisha kujufunza.
 
Msianzishe ugomvi ambao hamuwezi kushinda kufurahisha Muzungu wenu, kuna Wakenya wengi China pia labda hawajui Kichina, wanaweza kufurumushwa pia, isitoshe uchina analipa kila kitu Kenya!

Kuwalazimisha Wachina kujifunza Kiswahili hapo tunawafurahisha wazungu kivipi, mtu akija kwetu na hana uwezo wa kuwasiliana na sisi kwenye lugha tunazozitumia za taifa inabidi arudi huko huko kwao akajifunze kwanza. Na wao wakitaka wawafurushe Wakenya waliopo huko kwao na hawaongei lugha zao.

Nimeisubiri sana hii sheria kwanza inanitia machungu sana nikikumbuka enzi nikiwa dogo, nilikua nimeajiriwa kama mhudumu wa hoteli ya Mhindi, yule Mhindi alikua anawaleta watu wa kwao wasiojua Kiswahili wala Kingereza halafu anawapa wadhifa wa umeneja, yaani tunaishia kuwafunza lugha huku wakituongoza, kilichokua kinanikera ni pale kila pakitokea ugomvi, yaani unaitwa ofisini kwa mkurugenzi wewe na meneja Mhindi halafu kesi wanaifanya wao kwanza kwa Kihindi, hujui wanajadili nini kisha hatimaye unaadhibiwa aidha kwa kukatwa mshahara, hujapewa fursa ya kujieleza, na haujajua kipi wamejadili, wewe unapewa walichohitimisha tu....pumbavu sana.
 
Mjione duni mkiwa na akina nani, afu hujawahi kutuliza mahaba yako kwa Wakenya, ulikua unakesha sana humu Kenyan forums kutufuatilia, nilifikiria ulishanyakuliwa, karibu tena mrembo....
Hii ni JF nakwenda kokote nipendako
siji kumfuata mtu yeyote
Nachangia majukwaa yote bila kutishwa na Karagosi yeyote
Kama unadhani sote twajiuza Humu pole sana
 
Hii ni JF nakwenda kokote nipendako
siji kumfuata mtu yeyote
Nachangia majukwaa yote bila kutishwa na Karagosi yeyote
Kama unadhani sote twajiuza Humu pole sana

Hehehe pole nilikua nakupa salamu tu....
 
Ulipaswa kuchangia Mada husika nasio kumjadili mtu
Au kujibu tu kile nilicho Changia
Habari za Kumpe
kua mtu Hazina Mashiko
Punguza hasira na huyo kajamaa mrembo zuwena
 
How comes you have Chinese workers in your own SGR?? Hata kama ni mkopo si mtaulipa that means hiyo reli ni yenu?

Kwani hamna phase out plan ya kuwaondoa hao wachina??

Maana wao kujifunza lugha simply inamaanisha They are there to stay..
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Na hao mawaziri na watendaji wa juu serikalini wasiojua Kiswahili wafurusheni waende kwa malkia. Zaidi ya 60% majaji, mahakimu na wanasheria wa Kenya hawajui Kiswahili au wanajisikia aibu kukizungumza, japo ninajua hili haliwezikani ni maneno tu kama kawaida yenu, ila kama kweli muanze na na ninyi wenyewe kwanza.
 
Punguza hasira na huyo kajamaa mrembo zuwena
Sio hasira
Akili yake inamtuma sote Malaya humu
au Mwanamke lazima awaze ujinga ujinga Humu
Anashindwa kukosoa kile nilicho changia anaenda kunijadili mm
 
Sio hasira
Akili yake inamtuma sote Malaya humu
au Mwanamke lazima awaze ujinga ujinga Humu
Anashindwa kukosoa kile nilicho changia anaenda kunijadili mm
Yah sio vyema kabisa,kama kweli alimaanisha hivyo atakuja kuapologize if he is a real gentleman,if he meant that ila.
 
Msianzishe ugomvi ambao hamuwezi kushinda kufurahisha Muzungu wenu, kuna Wakenya wengi China pia labda hawajui Kichina, wanaweza kufurumushwa pia, isitoshe uchina analipa kila kitu Kenya!

Ma bwana zao wamewabananisha nao wameingia kichwa kichwa
 
Back
Top Bottom