The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Naona wazee wa udini wanatafita kiki?🤣Vipi kuhusu Kasi ya maendeleo?
Atarudi kwao ZanzibarAnachofanya ni kufilisisha kizazi kabisa then aje apotee kama jini Samia.
Huyu inasemekana amejiweka vizuri huko kwa wajomba huko Oman. Atatuachia msala yeye atakwenda zake kustaafu kifahari.Atarudi kwao Zanzibar
Hata Zanzibar hatokaa huyo, atamfuata mwanae Dubai huko, si uliona mjengo alioshusha huko Dubai kwa kutumia pesa hizi hizi za walipa kodi?Atarudi kwao Zanzibar
Sisi ni taifa la wajingaHuyu inasemekana amejiweka vizuri huko kwa wajomba huko Oman. Atatuachia msala yeye atakwenda zake kustaafu kifahari.
Mpaka tushituke tutakuwa tumechelewa snHata Zanzibar hatokaa huyo, atamfuata mwanae Dubai huko, si uliona mjengo alioshusha huko Dubai kwa kutumia pesa hizi hizi za walipa kodi?
Haiendani kabisa na pesa zilizokopwa, kifupi upigaji/ufisadi umetamalaki awamu ya 6!Vipi kuhusu Kasi ya maendeleo?
Tuma picha mkuuHata Zanzibar hatokaa huyo, atamfuata mwanae Dubai huko, si uliona mjengo alioshusha huko Dubai kwa kutumia pesa hizi hizi za walipa kodi?
Kapite kwa Mange kule instagram , utakutana na hiyo post.Tuma picha mkuu