Ngwair kafunika. Ngwair alimuonesha mrembo dira, alimchora tattoo pajani, alimpa cheni na ana mimba yake anayohudumia. Mchizi mox kala left overs.daah,ngwair kawahi sana kisepa wallah,hii ngoma walijibizana kibabe,mm ukiniuliza nani alifunikwa kwny hii ngoma jibu sina,kweli mziki halisi wa bongo ulikuwa zamani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mapumbavu yanadai tetema ni mziki bora daaah...hizi njaa zitatuua kutetea ujinga ujinga hata usiofaa ktk jamii[emoji57][emoji34]
weeeeeeee,MOX pia alijibu humbly sana ila kwa msisitzo ambao ni wa kibabe sana,mfano alikubali tatoo hakuchora yy ila akasema kuchora kitu gani,waweza kuchora na bado usione ndani,kuhusu mimba jamaa kamwambia ngwair kama unahudumia basi unapigwa maana sku zote wajinga ndo wanaochunwaaaaa,hii ngoma walibalance sana,hakuna alofunikwa au alomfunika mwenzieNgwair kafunika. Ngwair alimuonesha mrembo dira, alimchora tattoo pajani, alimpa cheni na ana mimba yake anayohudumia. Mchizi mox kala left overs.
Ila mmh toka shule ya msingi sasa mbona wote wamedeal na under 18!!!
Bila kusahau YEEH BABASiku hizi ladha kama hizo huwezi pata zaidi ya kina eyoooo leiza
Bifu lilikuwa kali hadi ngwea akashindwa kuhimili akadediHawa jamaa niliwahi sikia waliingia kwenye bifu la kugombea wimbo wa mikasi, sijui iliishaje ile bifu?
Ntakuchapa mpaka home kwenu (in ngwea voice)Bifu lilikuwa kali hadi ngwea akashindwa kuhimili akadedi
Endelea sasaEyo sikiliza we pimbi huyu demu mi namega kipindi toka enzi zile anasoma shule ya msingi