Mchizi mox ft Ngwair - Demu wangu

Mchizi mox ft Ngwair - Demu wangu

daah,ngwair kawahi sana kisepa wallah,hii ngoma walijibizana kibabe,mm ukiniuliza nani alifunikwa kwny hii ngoma jibu sina,kweli mziki halisi wa bongo ulikuwa zamani
Ngwair kafunika. Ngwair alimuonesha mrembo dira, alimchora tattoo pajani, alimpa cheni na ana mimba yake anayohudumia. Mchizi mox kala left overs.
Ila mmh toka shule ya msingi sasa mbona wote wamedeal na under 18!!!
 
Ngwair kafunika. Ngwair alimuonesha mrembo dira, alimchora tattoo pajani, alimpa cheni na ana mimba yake anayohudumia. Mchizi mox kala left overs.
Ila mmh toka shule ya msingi sasa mbona wote wamedeal na under 18!!!
weeeeeeee,MOX pia alijibu humbly sana ila kwa msisitzo ambao ni wa kibabe sana,mfano alikubali tatoo hakuchora yy ila akasema kuchora kitu gani,waweza kuchora na bado usione ndani,kuhusu mimba jamaa kamwambia ngwair kama unahudumia basi unapigwa maana sku zote wajinga ndo wanaochunwaaaaa,hii ngoma walibalance sana,hakuna alofunikwa au alomfunika mwenzie
 
Thread Nzuri Sasa Itendewe Kama Utaratibu Wa Jamiiforums.com, Tuwekewe Audio Watu Waone Ya Kale Ni Dhahabu. Video Changamoto Mb Nyingi Sana
😂😁😀
 
Eyo sikiliza we pimbi huyu demu mi namega kipindi toka enzi zile anasoma shule ya msingi
 
Ukiskiliza nyimbo ya Noorah vijimambo tu utaelewa maana ya muziki mtamu
 
kuna ule wimbo wa brandy na monica boy is mine , nao wanasema hivi huyu machizi ni wakwangu

 
oyaa nani ana bati nikale chai na chapati
 
Back
Top Bottom