Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
MCHOKOZE KIDOGO MPAKA AKASIRIKE ILI UJUE HEKIMA YAKE IKOJE 😊
Moja ya mbinu nzuri ya ki intelejensia ya kuijua hekima ya mtu ni kumchokoza makusudi mpaka akasirike 😊 Usiogope maamuzi yake yatakuaje ila fanya hivyo ili kumjua yeye ni wa namna gani.
ILI KUTUMIA MBINU HII HAKIKISHA YAFUATAYO ILI USIKOSEE ZOEZI LAKO.
1.Asijue kama upo kwenye kipimo cha matazamio.
2.Isiwe mara kwa mara kumchokoza , mchokoze mara moja tu.
3.Mchokoze kidogo usitafute uchokozi unaokwaza kupitiliza.
4.Kwenye uchokozi huo usiombe msamaha haraka bali hakikisha mpaka unaona maamuzi yake na namna anavyokabiliana na hasira zake.
UKIONA HAYA JUA HEKIMA YAKE NI NDOGO SANA
1.Anaongea kwa kupayuka bila kujali mko wapi na nani anasikia.
2.Anaongea ambayo kikawaida asingeweza kufanya hivyo akiwa hana hasira.
3.Hana mbinu suluhishi zaidi ya kuchochea ugomvi.
4.Hawezi kujizuia mpaka kla mtu anajua kama umemksirisha.
5.Anafanya maamuzi ya kudumu kupitia hasira zake
6.Anatumia vitisho kama mbinu za kukufanya uogope
#Mwanasayansi Saul kalivubha
Fikia Ndoto Zako.