RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Wewe mfanyakazi wako unamlipa sh. Ngapi?Acha unyonyaji wewe...yaani laki moja kwa mwezi ni sawa na shilingi 3300 kwa siku.Wewe upo tayari uajiriwe halafu mshaharร wako kwa siku uwe shilingi elfu tatu?
endelea kukaa kwa shemeji hapoAcha unyonyaji wewe...yaani laki moja kwa mwezi ni sawa na shilingi 3300 kwa siku.Wewe upo tayari uajiriwe halafu mshaharร wako kwa siku uwe shilingi elfu tatu?
๐๐Acha unyonyaji wewe...yaani laki moja kwa mwezi ni sawa na shilingi 3300 kwa siku.Wewe upo tayari uajiriwe halafu mshaharร wako kwa siku uwe shilingi elfu tatu?
Kwani kakuambia mgahawa wake una Rice cooker?Nipo, chapati za kuchambuka, za kumimina, wali, pilao, ugali, mboga mboga vyote naandaa,
Nitakuwa na kijana wangu wa kazi,
Usiku saa 3 unilipe elfu 10 , tukutane asubuhi saa 11.
ZingatiaAcha unyonyaji wewe...yaani laki moja kwa mwezi ni sawa na shilingi 3300 kwa siku.Wewe upo tayari uajiriwe halafu mshaharร wako kwa siku uwe shilingi elfu tatu?
Achana nalo lipo kwa shemeji halijui kutafuta limenenepa matakoendelea kukaa kwa shemeji hapo
@mamdenyi kumbe upo,Nipo, chapati za kuchambuka, za kumimina, wali, pilao, ugali, mboga mboga vyote naandaa,
Nitakuwa na kijana wangu wa kazi,
Usiku saa 3 unilipe elfu 10 , tukutane asubuhi saa 11.
๐๐Yes hizi ndizo kazi ambazo napenda kuona zikiwekwa humu
Mkuu hongera sana
Ukimpata usisahau kutuletea mrejesho mkuu
Mungu awe pamoja nawe ๐๐
Nitakuwa na kijana ambaye hata kubanika kuku anaweza, ila ten isimame@mamdenyi kumbe upo,
Tuanze na 7000 kwa siku kwa nyote wawili, hali tutaiona pamoja kama tunaweza ongeza,
Nyama choma na chips pia unaweza?