RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
- Thread starter
- #21
Hatimae mchoma chapati nilimpata ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Location?Ndugu habarini.
Nina kamgahawa kangu.
Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi kama anaweza pia kupika wali mzuri sufuria kubwa kuanzia kilo kumi na mapishi mengine.
Malipo kuanzia laki moja kwa mwezi, Makazi bora bure, Kula bure mgahawani.
Please nipatieni connection hiyo bandugu nimpate huyo mtu, tufaane ktk utafutaji.
Eneo ni Bwisya Ukerewe.
Mawasiliano 0787597951.
Hakuna kitu kitu nakipenda kama chapati .Hizi zimekaangwa na kompyuta bila shaka.
Great. Hongerah Muwekezaji.Hatimae mchoma chapati nilimpata ndugu zangu
Akitaka mtu wa kupika ugali ,nipo hapa.Ndugu zangu, mambo yanazidi kufunguka sana. Mara baada ya jamaa mmoja kutoa nafasi ya kazi kwa muuza uji, sasa ametokea mwingine anayo ya kukaanga chapati.
Mkuu ebu tupe experience kdg ya biashara ya chapati. Nimeskia mahali wakisema chapati za vitabu ndo zinalipa hii imekaaje mkuuNdugu habarini.