Mchoma chapati anahitajika

Mchoma chapati anahitajika

Hatimae mchoma chapati nilimpata ndugu zangu
 
Ndugu habarini.

Nina kamgahawa kangu.

Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi kama anaweza pia kupika wali mzuri sufuria kubwa kuanzia kilo kumi na mapishi mengine.

Malipo kuanzia laki moja kwa mwezi, Makazi bora bure, Kula bure mgahawani.

Please nipatieni connection hiyo bandugu nimpate huyo mtu, tufaane ktk utafutaji.

Eneo ni Bwisya Ukerewe.

Mawasiliano 0787597951.
Location?
 
Ndugu zangu, mambo yanazidi kufunguka sana. Mara baada ya jamaa mmoja kutoa nafasi ya kazi kwa muuza uji, sasa ametokea mwingine anayo ya kukaanga chapati.
Akitaka mtu wa kupika ugali ,nipo hapa.
 
Ndugu habarini.

Nina kamgahawa kangu.

Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi kama anaweza pia kupika wali mzuri sufuria kubwa kuanzia kilo kumi na mapishi mengine.

Malipo kuanzia laki moja kwa mwezi, Makazi bora bure, Kula bure mgahawani.

Please nipatieni connection hiyo bandugu nimpate huyo mtu, tufaane ktk utafutaji.

Eneo ni Bwisya Ukerewe.

Mawasiliano 0787597951.
Mkuu ebu tupe experience kdg ya biashara ya chapati. Nimeskia mahali wakisema chapati za vitabu ndo zinalipa hii imekaaje mkuu
 
Back
Top Bottom