sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
halafu .................Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.
Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.
Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.
Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.
ICU?Ubwege huu sasa
Chama kiko icu Halafu unakipiga ajali?
Amezungumza na waandishi wa habari wa wapi?Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.
Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.
Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.
Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.
Tulia we muumini wa siasa karne ya 20. Propaganda za mpox na ebola huwa mnaambiwa nyie mazombie.Ubwege huu sasa
Chama kiko icu Halafu unakipiga ajali?
😃😆😃😆😀Tulia we muumini wa siasa karne ya 20. Propaganda za mpox na ebola huwa mnaambiwa nyie mazombie.
Lissu mwanasheria anasemaje juu la hiloMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.
Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.
Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.
Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.
Ajibiwe kwa hojahalafu .................
CDM kamatieni hapo hapo kwenye No Reforms No Elections muue ndege wawili kwa jiwe moja kwa maana kuna mamluki ndani ya CDM
Kiko ICU wakati mwenezi wako anajamba jamba kila siku halali anavyoona mtiti wa CHADEMA?Ubwege huu sasa
Chama kiko icu Halafu unakipiga ajali?
Kama kuna chama kiko ICU basi ni CCM kwani bila mbeleko ya vyombo vya dola haijiwezi kabisa. Uchaguzi ukiwa huru na haki CCM saa nne asubuhi tu inakogeshwa.Ubwege huu sasa
Chama kiko icu Halafu unakipiga ajali?
Kama kuna ndugu yake Mchome humu amuonye hiyo hela aliyopewa na CCM kuleta mgogoro Chadema ndiyo itakuwa kaburi lake, CCM wanamtumia kama chambo kuleta mgogoro kisha wasiojulikana watamuua na kuiangushia jumba bovu Chadema. Yaelekea haijui CCM vizuri huyu Mchome hiyo hela itampeleka kaburini soon.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.
Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.
Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.
Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.
Je, kuna hatua zozote alizochukua kujaribu kutatua hilo suala internally? Kama hajafanya hivyo ikashindikana, basi atakuwa ni mtu mpenda shari.Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.
Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.
Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.
Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.
Ndugu zake waandae matanga tu huyu ameshaingia kwenye 18 za Afande MafweleKama kuna ndugu yake Mchome humu amuonye hiyo hela aliyopewa na CCM kuleta mgogoro Chadema ndiyo itakuwa kaburi lake, CCM wanamtumia kama chambo kuleta mgogoro kisha wasiojulikana watamuua na kuiangushia jumba bovu Chadema. Yaelekea haijui CCM vizuri huyu Mchome hiyo hela itampeleka kaburini soon.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.
Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.
Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.
Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.
Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.
Huyu aelimishweMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.