LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Huyu aelimishwe, asipoelewa aonyeshwe mlango wa kutokea. Yule wa ccm aliyehoji ya Samia alifanywaje vileMchome bana, huna la.kufanya ndugu??
Huyu aelimishwe, asipoelewa aonyeshwe mlango wa kutokea. Yule wa ccm aliyehoji ya Samia alifanywaje vileMchome bana, huna la.kufanya ndugu??
Chama chetu hatuna msemaji…. Kila kitu anamaliza mzee spunda mwenyeweKiko ICU wakati mwenezi wako anajamba jamba kila siku halali anavyoona mtiti wa CHADEMA?
Chauma tumekaa paleeeeICU?
Walioko ICU ni wale wanaopumulia nguvu ya dola kubakia madarakani.
Mchome anapigania katiba ya Chadema.Kwa hiyo mchome anataka Dr.Wilbroad Slaa arudi kuwa katibu mkuu wa Chadema?
Kuna mamluki walipiga kura mbona unachomment kabla ujaelewa content and context?Mbona kauli hii inakuja punde mara bqada ya Slaa kuomba msamaha jana.Nafasi ya katibu imejazwa january leo ni end march.kulikoni?
Aliandika barua kwa katibu mkuu kama hatua za kutatua dhulma hii, lakini alijibiwa mtandaoni kwa kutukanwa.Je, kuna hatua zozote alizochukua kujaribu kutatua hilo suala internally? Kama hajafanya hivyo ikashindikana, basi atakuwa ni mtu mpenda shari.
Mamluki wamepiga kura hizo ni kura feki Lissu ameiba uchaguzi wa ndani.Kama kuna ndugu yake Mchome humu amuonye hiyo hela aliyopewa na CCM kuleta mgogoro Chadema ndiyo itakuwa kaburi lake, CCM wanamtumia kama chambo kuleta mgogoro kisha wasiojulikana watamuua na kuiangushia jumba bovu Chadema. Yaelekea haijui CCM vizuri huyu Mchome hiyo hela itampeleka kaburini soon.
Lissu mwanasheria kanjanja.Lissu mwanasheria anasemaje juu la hilo
Jobuni hoja zake. Chadomo ukiwa na akili na unahoji maswali magumu ghafla unakuwa umehongwa na pandikizi. Mnataka watu wote wawe manyumbu tu.Mchome huyu hana tofauti na Mchome mapovu wa Yanga anayetumia jezi za Simba kuitukana Simba,huyu Lembrose ni pandikizi la CCM na amepewa fedha nyingi kuleta mgogoro ndani ya Chadema.
Huyo alishajibiwa siku nyingi labda tu wewe hufuatilii.Jobuni hoja zake. Chadomo ukiwa na akili na unahoji maswali magumu ghafla unakuwa umehongwa na pandikizi. Mnataka watu wote wawe manyumbu tu.
Mjazeni ujinga tu huyo mamluki wenu lakini ajue amepanda mtumbwi wa vibwengo lazima Mafwele ale kichwa hicho.Mamluki wamepiga kura hizo ni kura feki Lissu ameiba uchaguzi wa ndani.
Mwambie aende mahakamaniMamluki wamepiga kura hizo ni kura feki Lissu ameiba uchaguzi wa ndani.
Yupo kwa msajili ni sehemu sahihi kabisa kwa wakati huu. Sasa Lissu inabidi akatoe maelezo ya kueleweka kwa msajili au fasta sana arudie uchaguzi.Mwambie aende mahakamani