PreGE2025 Mchome ahoji uhalali wa John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.

Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.

Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.

Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.

Atulie ! No reform no election ifanye kazi bila bughuza .
 
Yupo kwa msajili ni sehemu sahihi kabisa kwa wakati huu. Sasa Lissu inabidi akatoe maelezo ya kueleweka kwa msajili au fasta sana arudie uchaguzi.
Hakuna kitu kama hicho mnajisumbua tu kila kitu kilifanyika kisheria, kikatiba na kikanuni. Mchome anatumika kiboya sana yeye ni chambo tu ila ajue itakula kwake shetani hana rafiki hata siku moja.
 
Atulie ! No reform no election ifanye kazi bila bughuza .
Na alitulia baada ya kuona moto unavyokolea kwenye kampeni ya No Reform No Election wameamua kulianzisha kumtumia kibaraka wao Mchome halafu baadae wamtoe kafara waisingizie Chadema.
 
Uzuri ChADEMA hoja inajibiwa kwa hoja
Kwa maoni yangu viongozi wa chadema wamwite wamwelimishe, maana ukimsikiliza tu utagundua anabuni mambo, eti anasema ulikuwa ni uchaguzi. Tangu lini uteuzi wa wajumbe ukawa ni uchaguzi? Yaani yeye anajua katiba kuliko lissu aliyeshiriki kuitengeneza? Asipoelewa afukuzwe tu
 
Yupo kwa msajili ni sehemu sahihi kabisa kwa wakati huu. Sasa Lissu inabidi akatoe maelezo ya kueleweka kwa msajili au fasta sana arudie uchaguzi.
Yule aliyehoji Samia kupitisha kuwa mgombea urais wa ccm msajili alichukua hatua Gani kwa ccm?
 
Daa huyu kada wa CHADEMA huwa ananifurahisha sana mara apige gari ya serikali picha bila ruhusa, kuna wakati kwenye kesi ya Mbowe alimwambia jaji mahakamani bila woga "hii kesi ya mchongo" na ndio huo msemo ukapata umaarufu na sasa yupo bampa to bampa na katiba ya CHADEMA kusiginwa. CHADEMA shughuli mnayo mwaka huu.
Huyu dakika sifuri tu chama kikiamua anatimuliwa
 
Kama kuna ndugu yake Mchome humu amuonye hiyo hela aliyopewa na CCM kuleta mgogoro Chadema ndiyo itakuwa kaburi lake, CCM wanamtumia kama chambo kuleta mgogoro kisha wasiojulikana watamuua na kuiangushia jumba bovu Chadema. Yaelekea haijui CCM vizuri huyu Mchome hiyo hela itampeleka kaburini soon.
M,SIMTISHE JIBUNI HOJA ZAKE ACHENI UMBURURA MSIMFANYE KAMA MLIVYOMFANYA WANGWE CHADEMA NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE SUMU HAIONJWI
 
Alishajibiwa akagoma kwenda kuchukua barua yake ofisini. Asubirie kwa msajili atayapata majibu yake kwani yako tayari siku nyingi tu. Huyo hatumtishi bali tunampa tahadhari kwani CCM wamegeuza chambo yeye anafurahia hela aliyopewa lakini hatishi kuitumia hiyo ndiyo CCM Chama Cha Mashetani na shetani siku zote hana rafiki.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.

Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.

Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.

Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.

Wilaya ya Mwanga haina wanachama wa Chadema wa kuaminika .

Mwanga ni wilaya yenye wanachama wa CCM wenye ubaguzi wa wao kwa wao ndani kwa ndani .
Ubaguzi kati ya kabila la Wagweno na Wapare .
Wagweno wanasema wao sio wapare na wapare wanawaona wagweno kama watu wasiostahili kushika nafsi za uongozi kwenye Wilaya hiyo ikiwemo ubunge.

Mwanga mpaka wanachama ndani ya CCM wananunuliwa wakati wa uchaguzi .

Huyo Mchome kifupi sio Chadema . Ni CCM na chawa wa mama. Hiyo hata wakimfukuza hana msaada wowote katika Wilaya ya Mwanga. Wilaya ya Mwanga ni koloni la CCM tangu uhuru .
Ni wilaya ya Mwisho kabisa kwa maendeleo kwenye Mkoa wa Kilimanjaro . Ni wilaya yenye watu wasio na umoja kutokana na ubaguzi wa kikabila na hata kidini .

CCM wanatamani kuona Mnyika akiwa nje ya Chadema ili kueneza propaganda kuwa Chama kimegawanyika .
 
Vipi barua yake itajibiwa lini au kuna ugumu gani kujibu barua yake?
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama.

Mchome ameyasema hayo leo Machi 24, akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kwenye kikao hicho ndani yake palikuwa na wajumbe ambao sio halali kushiriki.

Amesema kwa utaratibu wa chama chao watakaoshiriki baraza kuu ni wajumbe pekee na sio wawakilishi lakini siku ya baraza kuu palikuwamo na watu ambao sio wajumbe.

Soma Pia: Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

Aidha amesema watu hao walishiriki kunyoosha mkono(kupiga kura) kumpitisha Katibu Mkuu John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara na Zanzibar.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mchome ameeleza kuwa hana mashaka na uchaguzi wa Mwenyekiti wala Makamu Mwenyekiti bali ana shida na mchakato uliowapitisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.

Hata hivyo amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na baraza kuu hilo ikiwemo kupitishwa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na uteuzi wa wajumbe watano wa Kamati Kuu.

Hovyo sana huyu mpare!
 
Back
Top Bottom