PreGE2025 Mchome ahoji uhalali wa John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bongo tumeacha bongo sebuleni.
Hivi Chadema ya 2010,au 2015 ndio Chadema ya 2025?
Kaeni na vyura, wenye maono wataelewa.
 
Mbona kauli hii inakuja punde mara bqada ya Slaa kuomba msamaha jana.Nafasi ya katibu imejazwa january leo ni end march.kulikoni?
Kuna mamluki walipiga kura mbona unachomment kabla ujaelewa content and context?
 
Je, kuna hatua zozote alizochukua kujaribu kutatua hilo suala internally? Kama hajafanya hivyo ikashindikana, basi atakuwa ni mtu mpenda shari.
Aliandika barua kwa katibu mkuu kama hatua za kutatua dhulma hii, lakini alijibiwa mtandaoni kwa kutukanwa.
 
Mamluki wamepiga kura hizo ni kura feki Lissu ameiba uchaguzi wa ndani.
 
Timu Mbowe bado wana kinyongo.
 
Mchome huyu hana tofauti na Mchome mapovu wa Yanga anayetumia jezi za Simba kuitukana Simba,huyu Lembrose ni pandikizi la CCM na amepewa fedha nyingi kuleta mgogoro ndani ya Chadema.
Jobuni hoja zake. Chadomo ukiwa na akili na unahoji maswali magumu ghafla unakuwa umehongwa na pandikizi. Mnataka watu wote wawe manyumbu tu.
 
Jobuni hoja zake. Chadomo ukiwa na akili na unahoji maswali magumu ghafla unakuwa umehongwa na pandikizi. Mnataka watu wote wawe manyumbu tu.
Huyo alishajibiwa siku nyingi labda tu wewe hufuatilii.
 
Hivi ni sahihi kisheria kuelekeza malalamiko kwa Msajili badala ya Mahakamani? Msajili ndiyo mamlaka ya rufaa dhidi ya maamuzi yanayofanywa na Chama cha Siasa?
 
Daa huyu kada wa CHADEMA huwa ananifurahisha sana mara apige gari ya serikali picha bila ruhusa, kuna wakati kwenye kesi ya Mbowe alimwambia jaji mahakamani bila woga "hii kesi ya mchongo" na ndio huo msemo ukapata umaarufu na sasa yupo bampa to bampa na katiba ya CHADEMA kusiginwa. CHADEMA shughuli mnayo mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…