PreGE2025 Mchome ahoji uhalali wa John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Atulie ! No reform no election ifanye kazi bila bughuza .
 
Yupo kwa msajili ni sehemu sahihi kabisa kwa wakati huu. Sasa Lissu inabidi akatoe maelezo ya kueleweka kwa msajili au fasta sana arudie uchaguzi.
Hakuna kitu kama hicho mnajisumbua tu kila kitu kilifanyika kisheria, kikatiba na kikanuni. Mchome anatumika kiboya sana yeye ni chambo tu ila ajue itakula kwake shetani hana rafiki hata siku moja.
 
Atulie ! No reform no election ifanye kazi bila bughuza .
Na alitulia baada ya kuona moto unavyokolea kwenye kampeni ya No Reform No Election wameamua kulianzisha kumtumia kibaraka wao Mchome halafu baadae wamtoe kafara waisingizie Chadema.
 
Uzuri ChADEMA hoja inajibiwa kwa hoja
Kwa maoni yangu viongozi wa chadema wamwite wamwelimishe, maana ukimsikiliza tu utagundua anabuni mambo, eti anasema ulikuwa ni uchaguzi. Tangu lini uteuzi wa wajumbe ukawa ni uchaguzi? Yaani yeye anajua katiba kuliko lissu aliyeshiriki kuitengeneza? Asipoelewa afukuzwe tu
 
Yupo kwa msajili ni sehemu sahihi kabisa kwa wakati huu. Sasa Lissu inabidi akatoe maelezo ya kueleweka kwa msajili au fasta sana arudie uchaguzi.
Yule aliyehoji Samia kupitisha kuwa mgombea urais wa ccm msajili alichukua hatua Gani kwa ccm?
 
Huyu dakika sifuri tu chama kikiamua anatimuliwa
 
M,SIMTISHE JIBUNI HOJA ZAKE ACHENI UMBURURA MSIMFANYE KAMA MLIVYOMFANYA WANGWE CHADEMA NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE SUMU HAIONJWI
 
M,SIMTISHE JIBUNI HOJA ZAKE ACHENI UMBURURA MSIMFANYE KAMA MLIVYOMFANYA WANGWE CHADEMA NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE SUMU HAIONJWI
Alishajibiwa akagoma kwenda kuchukua barua yake ofisini. Asubirie kwa msajili atayapata majibu yake kwani yako tayari siku nyingi tu. Huyo hatumtishi bali tunampa tahadhari kwani CCM wamegeuza chambo yeye anafurahia hela aliyopewa lakini hatishi kuitumia hiyo ndiyo CCM Chama Cha Mashetani na shetani siku zote hana rafiki.
 

Wilaya ya Mwanga haina wanachama wa Chadema wa kuaminika .

Mwanga ni wilaya yenye wanachama wa CCM wenye ubaguzi wa wao kwa wao ndani kwa ndani .
Ubaguzi kati ya kabila la Wagweno na Wapare .
Wagweno wanasema wao sio wapare na wapare wanawaona wagweno kama watu wasiostahili kushika nafsi za uongozi kwenye Wilaya hiyo ikiwemo ubunge.

Mwanga mpaka wanachama ndani ya CCM wananunuliwa wakati wa uchaguzi .

Huyo Mchome kifupi sio Chadema . Ni CCM na chawa wa mama. Hiyo hata wakimfukuza hana msaada wowote katika Wilaya ya Mwanga. Wilaya ya Mwanga ni koloni la CCM tangu uhuru .
Ni wilaya ya Mwisho kabisa kwa maendeleo kwenye Mkoa wa Kilimanjaro . Ni wilaya yenye watu wasio na umoja kutokana na ubaguzi wa kikabila na hata kidini .

CCM wanatamani kuona Mnyika akiwa nje ya Chadema ili kueneza propaganda kuwa Chama kimegawanyika .
 
Vipi barua yake itajibiwa lini au kuna ugumu gani kujibu barua yake?
 
Hovyo sana huyu mpare!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…