maskini ka J.Mnyika dah
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Lembrus Mchome, amesema wanachama wa chama hicho hawataki kuona ufisadi ukitokea ndani ya chama chao.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mchome amedai kuwa kuna fedha za wafanyabiashara zinazopelekwa kwa viongozi wa juu lakini hazisimamiwi ipasavyo na hazifiki kwenye shughuli za chama ngazi za chini.
Mchome amepinga vikali madai ya Katibu Mkuu John Mnyika kuwa wale wanaopigania katiba ya chama wanalipwa na CCM."Hilo ni uzushi na uongo mkubwa, Kama Lissu na Heche waliposema kuna fedha chafu hawakushutumiwa, kwa nini sisi sasa tunashutumiwa?
Katibu Mkuu asichafue watu," amesema.Ameongeza kuwa dalili ya mgogoro ni pamoja na kutokuwepo kwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti, jambo analosema linaonyesha uongozi umegawanyika.
Amehitimisha kwa kudai ana ushahidi wa mfanyabiashara aliyetoa shilingi milioni 256 kwa kiongozi wa chama Lubumbashi mwaka jana lakini fedha hizo hazikufika hazina ya chama."Tunaomba wafanyabiashara wasitishe kutoa fedha kwa sasa, Turejee kwenye uhalisia wa CHADEMA wa miaka 30, Kukosoa si dhambi, ni uhuru wa kikatiba," amesisitiza Mchome.
Pia soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
Binafsi sio muumini wa siasa za maji taka! Lakini hata kama ukitaka kuzifanya, basi zifanye kwa hesabu kali ili uaminike.

Mchome kama mbabe kweli aikosoe ccm, hapo nitajua kweli halipwi kuchafua watumaskini ka J.Mnyika dah
Aliwahi kukanusha kupangishiwa Nyumba masaki na Francis Mutungi?Lembrus Mchome ana hoja nzito inayostahili kujibiwa kitaalamu na kamati kuu ya CHADEMA. Ila Mnyika kabebeshwa mzigo mzito wa kuwa katibu mkuu wa chama ambacho makamu mwenyekiti ni fisadi wa michango ya matajiri. Mnyika ni mwanasiasa ambaye ana siasa za kistaarabu na hajawahi kutajwa kutafuna pesa za chama kama kina Heche, Lema na Sugu. Kitu pekee cha kipuuzi ninachokumbuka kuhusu Mnyika ni pale aliposema Rais Jakaya ni dhaifu bungeni. Lilikuwa tusi baya sana.
Analipwa na MutungiApambane na chama chake cha ubwabwa.
View attachment 3627220
Ashatimuliwa kitamboKwani huyu hajafukuzwa?
Hajalipwa leo ila alipoambiwa arejeshe posho baada ya press ya Mnyika ndio akaleta visingizioAmelipwa 2 millions tena kwa hii press conference? Nchi ina hela za kuchezea
Gentleman,Mchome kama mbabe kweli aikosoe ccm, hapo nitajua kweli halipwi kuchafua watu