Mchome akanusha kauli ya Mnyika kuwa wanalipwa milioni 2 ili kumchafua John Heche

hapo tusi liko wap? kwamba hakuwa dhaifu ccm nan asiye dhaifu
 
Na ninamashaka kulipiwa huko atakuwa nyumba ndogo ya mutungi maana vijana wanye tabia za usaliti na kupenda fedha zisizo na jasho kama hawa huwa wanafilika kwa wepesi sana.
Kuna hiyo tetesi , tunachunguza
 
Hoja za Mchome ni propaganda Ganda ya kijinga Ikulu dawati la siasa wameferi waje tuwape mawazo ya maana
 
Aliwahi kukanusha kupangishiwa Nyumba masaki na Francis Mutungi?
Hayo ni mambo binafsi ambayo siwezi kuyafuatilia ila Heche kutafuna pesa za CHADEMA ni suala la kitaifa hasa kwa sisi wapenda demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…