Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani.
Mchome amesema baadhi ya hoja zilizojitokeza wakati wa ushahidi wa Heche zimezua taharuki kwenye mitandao ya kijamii, hivyo ameamua kutoa maoni yake hadharani kwa Watanzania na wanachama wa CHADEMA.
Aidha, Mchome amerejea madai aliyowahi kuyatoa kuhusu Heche kupokea fedha kutoka kwa wafanyabiashara na watu walio nje ya chama, akidai fedha hizo hazifikishwi ndani ya chama kwa matumizi yaliyokusudiwa.
Soma Pia: Mchome: Heche ni pandikizi la CCM ndani ya CHADEMA, yupo kwa ajili ya kutuvuruga