Mchome: Risiti zinaonyesha Heche kupokea milioni 20 bila kupitia chama

Mchome: Risiti zinaonyesha Heche kupokea milioni 20 bila kupitia chama

Aliyewaita chadema ni nyumbu hakukosea kabisa... ni mijinga kabisa. Mtu yupo nje ya nchi anakwambia andamana jeshi wanakulinda mibwege ikatoka. Imepigwa shaba imezikwa no body care. Hakuna kiongozi yeyote wa cdm ambae jamaa yake aliandamana. Watu wamekufa leo kina heche wanapiga mipunga kmmk.
Hivi yule shehe Shariff majini wa CCM alikuwa CHADEMA? Na master Tindwa wa Clouds? Usitetee ujinga na kuwaona wauaji ndio Bora. Hata wewe utafikiwa kwa wakati wako.
 
No synchrony at all ...aaah aaaah aaah sighs kibao.

Alafu muwe mnaweka video tunauona mwili mzima.

Mtu anastack stack.
Cd ina play under pressure.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani.

Mchome amesema baadhi ya hoja zilizojitokeza wakati wa ushahidi wa Heche zimezua taharuki kwenye mitandao ya kijamii, hivyo ameamua kutoa maoni yake hadharani kwa Watanzania na wanachama wa CHADEMA.

Aidha, Mchome amerejea madai aliyowahi kuyatoa kuhusu Heche kupokea fedha kutoka kwa wafanyabiashara na watu walio nje ya chama, akidai fedha hizo hazifikishwi ndani ya chama kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Soma Pia: Mchome: Heche ni pandikizi la CCM ndani ya CHADEMA, yupo kwa ajili ya kutuvuruga

Ukiona CCM na wasaliti wako hawakupi shutuma ujue Kuna mahali umeharibu.

Lakini ukisikia wanapiga kelele na kukupa shutuma, jua uko kwenye njia sahihi.

Heche aendelee kushikiria hapo alipo, historia itamuweka mahali pazuri sana.
 
Hivi yule shehe Shariff majini wa CCM alikuwa CHADEMA? Na master Tindwa wa Clouds? Usitetee ujinga na kuwaona wauaji ndio Bora. Hata wewe utafikiwa kwa wakati wako.
Nitafikiwa ila si kwa ujinga wa kufuata akili za mtu. Hao uliowataja unajuaje kama sio michadema mijinga
 
Kwan shida iko wap sis wa ccm kumpa hela heche. Ila ufala ni mzigo saanaa
 
20 million kitu gani, ukilinganisha na mambo mazito yaliyo kwenye taifa hili ambayo yame gharimu maisha na billions of shilings.. Hii nchi kama ni yawafu vile
 
Pesa ya 2024? Hiyo pesa ilikuwa kabla hajachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti.
Huwezi kupiga perfume mavi:

1789452129791.png
 
Hilo Mchome ni shetani mwendawazimu kama yalivyo mengi huko Chama Cha Mauaji.
 
Back
Top Bottom