Mchome: Risiti zinaonyesha Heche kupokea milioni 20 bila kupitia chama

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani.

Mchome amesema baadhi ya hoja zilizojitokeza wakati wa ushahidi wa Heche zimezua taharuki kwenye mitandao ya kijamii, hivyo ameamua kutoa maoni yake hadharani kwa Watanzania na wanachama wa CHADEMA.

Aidha, Mchome amerejea madai aliyowahi kuyatoa kuhusu Heche kupokea fedha kutoka kwa wafanyabiashara na watu walio nje ya chama, akidai fedha hizo hazifikishwi ndani ya chama kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Soma Pia: Mchome: Heche ni pandikizi la CCM ndani ya CHADEMA, yupo kwa ajili ya kutuvuruga

Your browser is not able to display this video.
 
Tuliwaambia humu vijana msiingie kwenye maandamano kwani mmegeuzwa kuwa mtaji.
Ona ulivyokuwa na akili kisoda kama za mtoto mdogo wa chekechea.

Kwa hiyo ukiwa mwanasiasa usifanye biashara nyingine au imeandikwa wapi kama wewe ni mfanyabiashara upo CDM basi biashara yako hautakiwi kufanya na wateja wa chama kingine?

Hivi hizi akili nyie nyumbu mama zenu na baba zenu ujauzito waliutafutia vichakani?
 
Tuliwaambia humu vijana msiingie kwenye maandamano kwani mmegeuzwa kuwa mtaji.

Jinga lao wapi hapo imeonyesha habari ya maandamano, kusoma hujui ?

Risiti za 2024 zimetumika 2025?

Halafu kwani kile kitengo cha FIU mnachokisifia kilikufa hadi kisione pesa zikiingia na kutoka mwaka mzima kwenda kufadhili hayo maandamano mnayosema yalifadhiliwa?,

Mmeenda kutunga hadi benki ya Cyrpus ambayo haipo, hapo Lumumba kila mtu nati za ubongo zilishafyatuka?

Ninakuwekea hapa video ya uchafuzi wa 1995 watu wakikinukisha sawa na kilichofanyika 2025 hebu tueleze hapa walifadhiliwa na nani?

Mtaishi kwenye denial ukweli ni kwamba hakuna uchaguzi wowote uliowahi kufanyika bila vurugu tangu 1995.

Siku mkitoka kwenye denial na kukubali mitandao ndio ilikua tool ya maandamano yale na sio mapesa hayo mtakua mmechelewa sana, ndio maana cha kwanza mlichofanya ni kuzima mitandao sio kitu kingine.
Your browser is not able to display this video.
 
Ni mtu mjinga tu atakayeamini propaganda za CCM
 
Hili Mchome ni pandikizi la CCM. Kwani haruhusiwwi kiwa na biashara? Mbona Mbowe alikuwa na mali nyingi na majumba ya kifahari? Mchome ni pandikizi la CCM fkuza.
 
Tuliwaambia humu vijana msiingie kwenye maandamano kwani mmegeuzwa kuwa mtaji.
Unajuwa, kuna siku tu madudu yote yanayofanywa na Samia na Genge lake, yote yatawekwa hadharani.

Kwa hiyo usiwe na haraka ya kutaka kuonyesha ni nani kati ya Heche na kundi lote la waovu wanaoua waTanzania ili waendelee kuwakamua kila walichonacho waTanzania.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani.

Mchome amesema baadhi ya hoja zilizojitokeza wakati wa ushahidi wa Heche zimezua taharuki kwenye mitandao ya kijamii, hivyo ameamua kutoa maoni yake hadharani kwa Watanzania na wanachama wa CHADEMA.

Aidha, Mchome amerejea madai aliyowahi kuyatoa kuhusu Heche kupokea fedha kutoka kwa wafanyabiashara na watu walio nje ya chama, akidai fedha hizo hazifikishwi ndani ya chama kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Amesema iwapo madai hayo yatapingwa, yuko tayari kuweka hadharani miamala anayodai kuwa inaonyesha fedha zinazopokelewa kutoka nje ya chama, ili jamii iweze kuifahamu na kujadili suala hilo.

Your browser is not able to display this video.
 
Aliyewaita chadema ni nyumbu hakukosea kabisa... ni mijinga kabisa. Mtu yupo nje ya nchi anakwambia andamana jeshi wanakulinda mibwege ikatoka. Imepigwa shaba imezikwa no body care. Hakuna kiongozi yeyote wa cdm ambae jamaa yake aliandamana. Watu wamekufa leo kina heche wanapiga mipunga
 
Watanzania vichwa vimeoza tupo busy kujadili 20m ya Heche huku bandari na rasilimali zingine kuna wageni wanazoa kama zao na hata Uraia hawana ipo siku vijana watajitambua na kujua umuhimu wa rasilimali katika Nchi yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…