Hivi yule shehe Shariff majini wa CCM alikuwa CHADEMA? Na master Tindwa wa Clouds? Usitetee ujinga na kuwaona wauaji ndio Bora. Hata wewe utafikiwa kwa wakati wako.Aliyewaita chadema ni nyumbu hakukosea kabisa... ni mijinga kabisa. Mtu yupo nje ya nchi anakwambia andamana jeshi wanakulinda mibwege ikatoka. Imepigwa shaba imezikwa no body care. Hakuna kiongozi yeyote wa cdm ambae jamaa yake aliandamana. Watu wamekufa leo kina heche wanapiga mipunga kmmk.
Watu wanatapatapa sanaKwa hivyo baada ya kumuweka ndani Lissu kwa kesi ya mchongo, kikwazo kwa sasa kwenye maridhiano ni Heche eeh, mnajidanganya...
Ukiona CCM na wasaliti wako hawakupi shutuma ujue Kuna mahali umeharibu.Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani.
Mchome amesema baadhi ya hoja zilizojitokeza wakati wa ushahidi wa Heche zimezua taharuki kwenye mitandao ya kijamii, hivyo ameamua kutoa maoni yake hadharani kwa Watanzania na wanachama wa CHADEMA.
Aidha, Mchome amerejea madai aliyowahi kuyatoa kuhusu Heche kupokea fedha kutoka kwa wafanyabiashara na watu walio nje ya chama, akidai fedha hizo hazifikishwi ndani ya chama kwa matumizi yaliyokusudiwa.
Soma Pia: Mchome: Heche ni pandikizi la CCM ndani ya CHADEMA, yupo kwa ajili ya kutuvuruga
Nitafikiwa ila si kwa ujinga wa kufuata akili za mtu. Hao uliowataja unajuaje kama sio michadema mijingaHivi yule shehe Shariff majini wa CCM alikuwa CHADEMA? Na master Tindwa wa Clouds? Usitetee ujinga na kuwaona wauaji ndio Bora. Hata wewe utafikiwa kwa wakati wako.
Huwezi kupiga perfume mavi:Pesa ya 2024? Hiyo pesa ilikuwa kabla hajachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti.
Tunawenye viti wapumbavu sana kama chama sijui kama tutafika anyway ukitoka kwa heche amua kwa lisu
Hana mpya huyu
Hujajua siasa vizuriWatu wanatapatapa sana
Mara Heche anapokea hela kutoka CCM kama anapokea pesa si angekua amekubali maridhiano