PreGE2025 Mchome wa Chadema atangaza kugombea Ubunge bila kujali harakati za "no reforms, no election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.

94376917_683169222436392_6650857609198829568_n.jpg
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika

"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."

Screenshot 2025-04-03 154633.png

Pia, Soma
 
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika

"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."

Pia, Soma

LOGICAL DEDUCTION NI HII: Mchome, hapo wewe unakosea. Unagombea ukijua fka kuwa utaibiwa kura na chance ya kushinda ni below 0.000001%? Hapana, kuna namna CCM wamekuahidi kukupa ubungu wa kwenye sahani kwa kukuwezesha kuiba kura!
 
Kwa maoni yangu chadema waanze kumfuata katiba na kanuni zao, huo ubunge atapitishwa na kamati kuu ya chama Gani?
 
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika

"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."

Pia, Soma
Hawa eti ndio products wa Mbowe? Yaani mtu anajua kabisa ataenguliwa au kuibiwa kura ila anataka tu kugombea!! Aisee nawaza Mbowe angekua bado mwenyekiti hivi hawa ndio wangekiacha chama salama kweli?
 
LOGICAL DEDUCTION NI HII: Mchome, hapo wewe unakosea. Unagombea ukijua fka kuwa utaibiwa kura na chance ya kushinda ni below 0.000001%? Hapana, kuna namna CCM wamekuahidi kukupa ubungu wa kwenye sahani kwa kukuwezesha kuiba kura!

Ashalamba kama mstaafu "tuvushe" - Pesa ndo kitu pekee kinachowezq kuelezea Kwa Nini mtu anafanya jambo lisilo na akili!
 
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika

"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."

Pia, Soma
Umeana wapi dagaa akashindana na nyangumi, chadema ni chama cha wananchi ( Nyangumi)
 
Nilionya kabla ya uchaguzi kwamba kama kunamtu kalamba pesa ya watu toka upande ule arudishe mapema wakachukulia utani ,sasa kimewalamba ,kelele kila kona,

Wengine wanalazimisha kulazwa ICU
 
Kama anataka kugombea ubunge si aende kugombea TLP au APPT Maendeleo.
 
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika

"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."

Pia, Soma
Mwaka wa kupiga hela za siasa huu. Ngoja na mimi nitafute jimbo niwavuruge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wacha afanye....na wengine wapi wapewe nafasi ila si kwa baraka za chama. Watasaidiwa na CCM kwani wale Covid Jiwe alifanyaje?
 
Labda anagombea kupitia chama cha familia yake.
Wapuuzi kama hawa tutawapuuza tu, wanamtumikia ibilisi
Nasikia alikuwepo kwenye futari ya BONI YAI hawa ni walewale madalali alosema lisu. wanajidai wanataka kugombea ubunge baadae wanapewa pesa na ma ccm ili wawaruhusu wapite bila kupingwa
 
LOGICAL DEDUCTION NI HII: Mchome, hapo wewe unakosea. Unagombea ukijua fka kuwa utaibiwa kura na chance ya kushinda ni below 0.000001%? Hapana, kuna namna CCM wamekuahidi kukupa ubungu wa kwenye sahani kwa kukuwezesha kuiba kura!
A,, sijui atagombea kupitia chama gani? Kwa sababu ili uwe mgombea ni lazima uwe umedhaminiwa na chama husika! Sasa kama Chama wameamua kutoshiriki uchaguzi, maana yake hawatatoa udhamini kwa wanachama wao!
 
Wilaya ya Mwanga hakuna mtu wa kuiangusha CCM .
Angalau kidogo Hendry Kileo aliisumbua CCM mwaka 2015 .
Lakini aliishia kuangukia pua .

Mwanga Bila vyama vya upinzani kuungana hawana ubavu wa kuishinda CCM .
Huyo mchome anatafuta jina tu ili CCM wamnunue .
Jambo la kusikitisha ni kwamba No reform no Election ni Tamko la Chama wakati Mbowe alipokua Mwenyekiti .
Ila Mbowe naye anatakiwa ajitokeze hadharani kumuunga mkono Mwenzake .
Wakati Mbowe alipokua Mwenyekiti Lisu alimuunga mkono kwa nguvu zote mpaka akapigwa risasi tena akiwa tu mjumbe wa halmashauri kuu . Leo Mbowe anashindwa hata kushirikiana na Mwenzake katika harakati za kutafuta tume huru ili kutimiza kile alichokianzisha mwenyewe?

Kundi la Mbowe kukubali tu kuwa wakati wa Siasa za kilaghai umekwisha .
Mwaka 2020 walimtoa chambo Lisu ili agombee maana waliogopa siasa za JPM .
Lisu alampeleka JPM mchakamchaka wa kufa mtu . Ikabidi wizi wa kura ufanyike ili kuinusuru CCM pamoja na kwamba JPM alikua mzalendo lakini bado uchaguzi ulikua ni mgumu kwa CCM .
Mwaka huu Mbowe anaona wivu kuwa Lisu anaungwa mkono na wananchi wote bila kujali vyama vyao. Lakini kinachomshtua Mbowe zaidi ni Dr.Slaa kurudi na ACT kuikubali mikakati ya kudai marekebisho ya sheria za uchaguzi lakini pia Viongozi wa dini kuonekana kutaka uchaguzi ufanyike kwa haki.
Badala ya Mbowe kumuunga mkono Lisu kwa maana kwamba mefanikiwa kushawishi umma yeye anafanya mgomo baridi.
Lisu angeachia siasa baada ya kupigwa risasi leo Chadema ingeku dhaifu sana maana kuna wakati Mbowe alikua anatumia tukio la Lisu kupigwa risasi kama kiki ya kisiasa.

Back
Top Bottom