Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
LOGICAL DEDUCTION NI HII: Mchome, hapo wewe unakosea. Unagombea ukijua fka kuwa utaibiwa kura na chance ya kushinda ni below 0.000001%? Hapana, kuna namna CCM wamekuahidi kukupa ubungu wa kwenye sahani kwa kukuwezesha kuiba kura!Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika
"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."
Pia, Soma
Kwa maoni yangu chadema waanze kumfuata katiba na kanuni zao, huo ubunge atapitishwa na kamati kuu ya chama Gani?Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika
"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."
Pia, Soma
Kikubwa kamati kuu kata jina lake wakati wa mchujo haraka...Labda anagombea kupitia chama cha familia yake.
Wapuuzi kama hawa tutawapuuza tu, wanamtumikia ibilisi
Hawa eti ndio products wa Mbowe? Yaani mtu anajua kabisa ataenguliwa au kuibiwa kura ila anataka tu kugombea!! Aisee nawaza Mbowe angekua bado mwenyekiti hivi hawa ndio wangekiacha chama salama kweli?Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika
"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."
Pia, Soma
LOGICAL DEDUCTION NI HII: Mchome, hapo wewe unakosea. Unagombea ukijua fka kuwa utaibiwa kura na chance ya kushinda ni below 0.000001%? Hapana, kuna namna CCM wamekuahidi kukupa ubungu wa kwenye sahani kwa kukuwezesha kuiba kura!
Umeana wapi dagaa akashindana na nyangumi, chadema ni chama cha wananchi ( Nyangumi)Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika
"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."
Pia, Soma
Mwaka wa kupiga hela za siasa huu. Ngoja na mimi nitafute jimbo niwavuruge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa CHADEMA kupitia mtandaowa X (Twitter) ameandika
"Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu."
Pia, Soma
Yeye kasema atagombeaKikubwa kamati kuu kata jina lake wakati wa mchujo haraka...
Nasikia alikuwepo kwenye futari ya BONI YAI hawa ni walewale madalali alosema lisu. wanajidai wanataka kugombea ubunge baadae wanapewa pesa na ma ccm ili wawaruhusu wapite bila kupingwaLabda anagombea kupitia chama cha familia yake.
Wapuuzi kama hawa tutawapuuza tu, wanamtumikia ibilisi
A,, sijui atagombea kupitia chama gani? Kwa sababu ili uwe mgombea ni lazima uwe umedhaminiwa na chama husika! Sasa kama Chama wameamua kutoshiriki uchaguzi, maana yake hawatatoa udhamini kwa wanachama wao!LOGICAL DEDUCTION NI HII: Mchome, hapo wewe unakosea. Unagombea ukijua fka kuwa utaibiwa kura na chance ya kushinda ni below 0.000001%? Hapana, kuna namna CCM wamekuahidi kukupa ubungu wa kwenye sahani kwa kukuwezesha kuiba kura!