Mchonga kibuyu ana mhaho, hapati usingizi

Mchonga kibuyu ana mhaho, hapati usingizi

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Ushindani ni kati ya kibuyu na aliye kichonga, sasa kibuyu inaonekana kinampa shida sana aliye kichonga. Aliyekichonga hivi sasa anahaha namna ya kuvunja hicho kibuyu lakini anashindwa.

Sasa mchonga kibuyu ameona ili kuondokana upinzani na kibuyu chake cha kwanza amemua kutengeneza watu washindanishe kibuyu cha kwanza na kibuyu cha pili ili yeye aonekane hana mshindani.

Wakati kibuyu cha kwanza na cha pili vinashindana basi yeye atazidi kuchanja mbuga. Mchonga vibuyu ana akili sana.

Mnacheza ngoma ambayo hamuijui, magoli yamehamishwa.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nilikua nabisha ila kuna watu(verified) wanatambulika kwa ID zao humu JF..
 
Paukwa pakawa.

Hicho sicho kibuyu cha kwanza kushindanishwa na FUNDI aliye kichonga,kuna vibuyu vingine vitatu vilichongwa na mafundi wengine,ili wamshushe huyo FUNDI lkn mwisho wa siku FUNDI aliwazidi kila kitu.

Sasa hivi hao mafundi wameamua kukipa sapoti hicho kibuyu kilicho chongwa na FUNDI ili wajaribu kumtetemesha FUNDI lkn bado hicho kibuyu hata robo ya mafanikio na number alizokuwa akizipata FUNDI ndani na nje ya nchi hajawahi kufikia.

Hata hicho kibuyu ukikipima na vibuyu vingine in terms of numbers still vibuyu hivyo vya huyo FUNDI bado vipo juu.Ndipo unagundua ni maneno matupu kwani hicho kibuyu na hao mafundi wanao msapoti wamebaki na maneno na chuki kwa FUNDI.

Hao mafundi wanakipa promo hiko kibuyu wakizani watamkomoa FUNDI kumbe wanaviumiza vibuyu vingine kabisa,kwani FUNDI anajitosheleza kwa kila kitu yeye na vibuyu vyake alivyo vichonga.

Hicho kibuyu kinalalamika kinabaniwa,cha ajabu anapata promo ktk maeneo matatu yanayo milikiwa na mafundi,ambayo alikuwa hayapati kipindi yupo chini ya FUNDI ,huku vibuyu vyingine vilivyo jichonga vyenyewe havipati hata robo ya anachokioata yeye hiko kibuyu ,wakati FUNDI na vibuyu vyake wanapata promo ktk eneo moja still wanafanya vizuri.
 
Paukwa pakawa.

Hicho sicho kibuyu cha kwanza kushindanishwa na FUNDI aliye kichonga,kuna vibuyu vingine vitatu vilichongwa na mafundi wengine,ili wamshushe huyo FUNDI lkn mwisho wa siku FUNDI aliwazidi kila kitu.

Sasa hivi hao mafundi wameamua kukipa sapoti hicho kibuyu kilicho chongwa na FUNDI ili wajaribu kumtetemesha FUNDI lkn bado hicho kibuyu hata robo ya mafanikio na number alizokuwa akizipata FUNDI ndani na nje ya nchi hajawahi kufikia.

Hata hicho kibuyu ukikipima na vibuyu vingine in terms of numbers still vibuyu hivyo vya huyo FUNDI bado vipo juu.Ndipo unagundua ni maneno matupu kwani hicho kibuyu na hao mafundi wanao msapoti wamebaki na maneno na chuki kwa FUNDI.

Hao mafundi wanakipa promo hiko kibuyu wakizani watamkomoa FUNDI kumbe wanaviumiza vibuyu vingine kabisa,kwani FUNDI anajitosheleza kwa kila kitu yeye na vibuyu vyake alivyo vichonga.

Hicho kibuyu kinalalamika kinabaniwa,cha ajabu anapata promo ktk maeneo matatu yanayo milikiwa na mafundi,ambayo alikuwa hayapati kipindi yupo chini ya FUNDI wakati yy FUNDI na vibuyu vyake wanapata promo ktk eneo moja still wanafanya vizuri.
Rudi kwenye mada ueleweke umeenda nje sana ya mada....
 
Back
Top Bottom