BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Ushindani ni kati ya kibuyu na aliye kichonga, sasa kibuyu inaonekana kinampa shida sana aliye kichonga. Aliyekichonga hivi sasa anahaha namna ya kuvunja hicho kibuyu lakini anashindwa.
Sasa mchonga kibuyu ameona ili kuondokana upinzani na kibuyu chake cha kwanza amemua kutengeneza watu washindanishe kibuyu cha kwanza na kibuyu cha pili ili yeye aonekane hana mshindani.
Wakati kibuyu cha kwanza na cha pili vinashindana basi yeye atazidi kuchanja mbuga. Mchonga vibuyu ana akili sana.
Mnacheza ngoma ambayo hamuijui, magoli yamehamishwa.