Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana ushirikina wowote, bali wanajua mchezo mzima wa masoko ya kidijitali wa kudaka watalii wa Marekani, Ulaya, na Asia moja kwa moja kutoka kwenye simu zao.
Ili kutatua shida hii ya magari kulala parking, mimi na Mushi Specialist tumekusanya nondo zote za vitendo kwenye kitabu kipya cha masoko ya utalii. Kitabu hiki kinakufundisha step by step jinsi ya kurun Meta Ads za kupata leads za maana, jinsi ya kujisajili na kuuza kwenye OTAs kama GetYourGuide, Klook, na Expedia, pamoja na mbinu za kuandaa itineraries na quotations za kitaalamu zinazofunga biashara haraka.
Kitabu hiki kinauzwa na kinakwenda moja kwa moja kwenye matokeo ya pesa mkononi bila nadharia ndefu za darasani. Kama unataka kukuza biashara yako na kuacha kutegemea madalali wa katikati, hii ndio fursa yako. Kupata nakala yako sasa hivi, nitafute moja kwa moja DM au WhatsApp namba
0788444263