Mchongo wa kupiga pesa $350 Fiverr ndani ya mwezi

Mchongo wa kupiga pesa $350 Fiverr ndani ya mwezi

Joined
Mar 15, 2019
Posts
64
Reaction score
178
Habarini wadau, ni wajiu wetu sisi vijana kupeana fursa za namna ya kutafuta pesa online kulingana na namna ulimwengu unavyokua kwa kasi. Tusitumie bando kufurahi tu bali tuingize pesa.

Siku hizi fursa za kupiga pesa mtandaoni zipo nyingi, ikiwemo hii ya freelancing ambayo unatumia ujuzi wako fulani kutoa huduma mtandaoni, mfano wewe ni daktari, accountant, mwandishi, graphic designer, video editor n.k unakutana na mteja online unamfanyia kazi anakulipa maisha yanaenda.

Leo nawaletea hii platform ya Fiverr ambayo inakuwezesha kupost gigg (ujuzi wako) na namna unavyoweza kuifanya, halafu wateja wanakutafuta wenyewe kwa muda wao wanakupa kazi unaifanya wanakulipa kwa bei ambayo wewe umeiweka.

Hata kama huna ujuzi wowote, ukijiunga na Fiverr ni bure na utaweza kupata deal kwa kujibu tu maswali kadhaa kuhusu Tanzania na vitu unavyovifahamu kwenye nchi yako na ukapata pesa.

Wapo watu wengi nje ya nchi wanaotaka kuja kuivest au kutembelea Tanzania na hawajui waanzie wapi. Wanataka some research ambazo huwezi kushindwa kufanya.... mimi mpaka sasa nimeshatengeneza $350+ kwa simple task tu ambazo hata siku nzima haifiki umeshamaliza.

Uzuri wa Fiverr ni kwamba unatengeneza Gigg (tangazo) yako unapost na wateja wanakutafuta wenyewe, siyo kama site zingine ambazo wewe ndo unaomba kazi kwa clients.

Karibu ujiunge hapa:https://fiverr.com/pe/RAkXY8 nawe uanze kuingiza maokoto na sehemu utakayokwama utanicheki WhatsApp: 0683535699
 

Attachments

  • Untitled design.png
    Untitled design.png
    169.4 KB · Views: 24
  • 62291b5f923ec472a68d77ea_Blog - 1 (2).png
    62291b5f923ec472a68d77ea_Blog - 1 (2).png
    180 KB · Views: 23
Back
Top Bottom